06/07/2026
Ibada ya jumapili siku ya Bwana Kaanana Bible Church
Indianapolis June 07/2026
Hii ni ibada yasiku ya Bwana Kaanan Bible Church Indianapolis ambao imeongozwa na mama mchungaji wa Kaanan Bible church Indianapolis
Ibada hii imekuwa ibada yenye utukufu mkubwa wa Bwana hakika tumeona mkono wa Bwana kumbuka kwako mpendwa ndugu na rafiki tayari kaanan bible church Iko apo mlangoni asa kwawewe mkaazi wa Indianapolis na jirani tunapatikana
📍2926 E Washington St, Indianapolis, IN 46201
Mahali apa maombezi nibureee bila maji wala mafuta bali kwa jina la Yesu Christo wa Nazareth unapokea muujiza wako sio muujiza tuu bali wokovu kamili utakao kufanya kuifikiya hatma yako.
Moto🔥🔥umewaka Indianapolis hatutulii hatupoi mpaka Roho moja iokolewe.
Wote mnakaribishwa 2926 E Washington St, Indianapolis, IN
46201
Kwamawasiliano zaidi piga number hii ili upate ratiba kamili (520) 743-6156