Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry

Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry ni huduma ya kufundisha Neno la Mungu, kuimarisha maisha ya maombi, na kukuza viongozi wa kiroho.

Lengo letu ni kuwasaidia watu kumjua Mungu, kukua katika imani, na kuishi maisha matakatifu.

30/04/2026

Yeremia 32:27
[27] “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza?

28/04/2026

Karibu ndugu wapendwa.

Nimeanza mafundisho ya Neno la Mungu kupitia ukurasa wangu wa Facebook: Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry.

Tafadhali angalia somo hili kuhusu Maombi ni nini? na usisahau kushare ili wengine pia wajifunze.

Mungu awabariki.

28/04/2026

Karibu katika Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry.

Dhamira yetu ni kufundisha Neno la Mungu kwa uwazi na kuwasaidia waumini kukua katika imani, maombi, na uelewa wa Maandiko Matakatifu.

Jiunge nasi kila wiki kwa mafundisho ya Biblia, maombi, na kutiana moyo kiroho.

Waite marafiki na familia yako wafuate ukurasa huu ili tukue pamoja katika Neno la Mungu.

COME AND SEE WHAT THE LORD WILL DO
19/09/2024

COME AND SEE WHAT THE LORD WILL DO

20/05/2022

TAUX YA LEO $100 R1750

21/01/2022

TUNA TUMA PESA KUANZIYA 5$
FOR MORE INFO. 0737838193

21/01/2022

We are Express money transfer to all over the world!

06/01/2022

5$=R100
10$=R190
15$=R290
20$=R350.

06/01/2022

TAUX YA LEO.
5$=R100
10$=R190
15$=R275
20$=R360
25$=R450
30$=R530
35$=R610
40$=R690
50$=R860
100$=R1710
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWENYE WHATSAPP 0737838193.
N. B: TUNATUMA PESA DUNIA NZIMA AIJALISHI UKO WAPI.

TAUX YA LEO 100$ NI R17300737838193.
01/12/2021

TAUX YA LEO 100$ NI R1730
0737838193.

Address

4314 B
Thaba Nchu
9780

Telephone

+27737838193

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Ramazani Bible Teaching Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share