Njoo kwa Kristo katika Twin Falls, ID

Njoo kwa Kristo katika Twin Falls, ID Twin Falls 20th Branch ya Kanisa La Yesu Kristo La Watakatifu Wa Siku Za Mwisho! Mungu anakupenda?

08/28/2021

Huyu ni rafiki yetu, Musa! Alibatizwa hivi karibuni, na anataka kushirki ushuhuda wake nanyi! Ana imani kubwa! Msikilize!

Mshiriki ushuhuda WAKO katika maoni hapa chini!👇👇

07/15/2021

Hekalu ni nini?

Utufuate tunavyoelezea swali hili! Hekalu ni nyumba ya Mungu, na ni mahali maalum! Tunajua kwamba utahisi Roho Mtakatifu na upendo wa Mungu mtakapotembelea.

Mkitaka kutembelea hekalu hiyo, ujoo na ujionee mwenyewe!

Kwa nini unapenda hekalu?

07/15/2021
Napenda hekalu! Hekalu ni muhimu kabisa. Hekaluni, tunaweza kutengeneza maagano na Mungu ili tuweze kurudi kwake mbingun...
04/24/2021

Napenda hekalu! Hekalu ni muhimu kabisa. Hekaluni, tunaweza kutengeneza maagano na Mungu ili tuweze kurudi kwake mbinguni! Hekalu ni mrembo na inanikumbusha ya mbinguni.

Tunaweza kuingia hekaluni baada ya ubatizo ili tuweze kuendelea njiani ya agano!

Ukitaka kujifunza zaidi kuhusu mahali hii, nitume ujumbe!

Angalia Sasa: Mkutano Mkuu! Pasaka Njema!
04/04/2021

Angalia Sasa: Mkutano Mkuu! Pasaka Njema!

🇹🇿: Nataka kukualika kwa usiku wa kitamaduni!! Kila jumamosi, tutakuwa na usiku wa kitamaduni! Manweza kucheza, kuimba, ...
03/26/2021

🇹🇿: Nataka kukualika kwa usiku wa kitamaduni!! Kila jumamosi, tutakuwa na usiku wa kitamaduni! Manweza kucheza, kuimba, kupika, au kuja kuangalia! Usiku wa Kitamaduni ya kwanza itakuwa April 10th, 2021, 6:30 pm. Njoo na ulete marafiki zako!!! Karibu kwa wote! ❤

🇺🇸: I want to invite you to our Cultural Night! Every Saturday, we will have an African culture night. You can dance, sing, cook, or just watch! Our first cultural night will be April 10th, at 6:30 pm. Come and bring your friends! All are welcome! ❤

Yesu Anakupenda. Alihisi uchungu wetu, kwa sababu anatupenda.❤
10/24/2020

Yesu Anakupenda. Alihisi uchungu wetu, kwa sababu anatupenda.❤

Kristo ndiyo njia PEKEE kwa sisi kumrudi Mungu. ❤"Ingieni ndani ninyi kupitia mlango uliosonga; kwani mlango umesonga na...
10/22/2020

Kristo ndiyo njia PEKEE kwa sisi kumrudi Mungu. ❤

"Ingieni ndani ninyi kupitia mlango uliosonga; kwani mlango umesonga na njia ni nyembamba, ambayo inaenda kwa maisha, na kuna wachache ambao huipata; lakini mpana ni mlango, na pana ni njia iendayo kwenye kifo, na kuna wengi ambao huisafiria, mpaka usiku unakuja ambapo hakuna mtu atakayeweza kufanya kazi." -3 Nefi 27:33

10/15/2020

Kiswahili changu sio kamili, lakini nilitaka kushiriki andiko nanyi!

Najua kwamba ukijenga imani yako hii Yesu Kristo , HUTAANGUKI. Yesu Krsito anakupenda.

♡ Dada Copeland

Tutapotembea katika njia za haki, tutabarikiwa kwa Mungu. Tutatembeaje katika njia za haki??☆☆☆When we walk in the paths...
10/14/2020

Tutapotembea katika njia za haki, tutabarikiwa kwa Mungu.

Tutatembeaje katika njia za haki??

☆☆☆

When we walk in the paths of righteousness, we will be blessed by God.

How can we walk in the paths of righteousness??

Address

Twin Falls, ID
83301

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njoo kwa Kristo katika Twin Falls, ID posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share