Yesu Kristo Anaishi - Spokane

Yesu Kristo Anaishi - Spokane Kuwaalika wengine waje kwa Kristo

08/18/2024

Karibu sana Spokane yetu!! 🇰🇪🇹🇿
Unatoka wapi?

Jambo sana!! Sisi ni wamishionari wa Yesu Kristo! Tupo Spokane Washington 🌲Tunahudhuria kanisa na watu wanatoka Afrika 🇨...
07/26/2024

Jambo sana!! Sisi ni wamishionari wa Yesu Kristo! Tupo Spokane Washington 🌲

Tunahudhuria kanisa na watu wanatoka Afrika 🇨🇩🇨🇬🇹🇿🇷🇼🇧🇮🇨🇫

Karibuni sana kanisani jumapili saa 7.30mchana

☆PASAKA NJEMA☆Una mahali kuenda kanisani kesho? Njoo tumwabudu Yesu Kristo pamoja nasi! Yesu anaishi na tuna fursa kushe...
03/30/2024

☆PASAKA NJEMA☆

Una mahali kuenda kanisani kesho? Njoo tumwabudu Yesu Kristo pamoja nasi! Yesu anaishi na tuna fursa kusherehekea na kutoa shukrani zetu kwa Mwokozi wa ulimwengu!

Utakuja? Toa maoni yako hapa chini jinsi utakavyosherehekea ufufuo wa Yesu Kristo au tutumie ujumbe ikiwa unataka kuja kesho!

☆Unapataje amani?☆Kwa sababu Yesu Kristo, tunaweza kupatata amani wakati majaribio, masumbuko, na maumivu ya kila aina. ...
03/23/2024

☆Unapataje amani?☆

Kwa sababu Yesu Kristo, tunaweza kupatata amani wakati majaribio, masumbuko, na maumivu ya kila aina. Yesu Kristo ni kitulizo. Yeye ni matumaini. Je, unapataje tumaini kupitia Yeye?

Toa maoni hapa chini jinsi unavyopata tumaini, au ututumie ujumbe ikiwa unataka tumaini na amani zaidi katika maisha yako!

Unataka kuja kanisani nasi?Tungependa kukuona kanisani! Kupitia Yesu Kristo, tunaweza kufanya vitu vyote, na tunaweza ku...
03/16/2024

Unataka kuja kanisani nasi?

Tungependa kukuona kanisani! Kupitia Yesu Kristo, tunaweza kufanya vitu vyote, na tunaweza kuhisi upendo Wake kanisani!

Maoni hapa chini k**a unataka kuja!

Yesu Kristo ni nani kwako? 🤔"Maswali au shida zozote mlizonazo, jibu daima linapatikana katika maisha na mafundisho ya Y...
02/17/2024

Yesu Kristo ni nani kwako? 🤔

"Maswali au shida zozote mlizonazo, jibu daima linapatikana katika maisha na mafundisho ya Yesu Kristo. Jifunzeni zaidi kuhusu Upatanisho Wake, upendo Wake, rehema Yake, fundisho Lake, na injili Yake ya urejesho ya uponyaji na ukuaji. Mgeukie Yeye! Mfuate Yeye!"

Shiriki nasi ni nani Yesu kristo kwako!

Tunahitaji kusoma Neno la Mungu kila siku! Tunaposoma Neno la Mungu, tunahisi nguvu wa Kristo na tunapokea amani na fara...
02/15/2024

Tunahitaji kusoma Neno la Mungu kila siku! Tunaposoma Neno la Mungu, tunahisi nguvu wa Kristo na tunapokea amani na faraja!

Ni andiko gani unalopenda zaidi?

☆Shiriki maandiko yako unayopenda na sisi!

Tunaweza kumfuata mfano wa Yesu Kristo tunapobatizwa! Ubatizo unamaanisha nini kwako?☆Tutumie ujumbe ili kujifunza zaidi...
02/14/2024

Tunaweza kumfuata mfano wa Yesu Kristo tunapobatizwa!

Ubatizo unamaanisha nini kwako?

☆Tutumie ujumbe ili kujifunza zaidi kuhusu ubatizo!

Yesu Kristo ni kila kitu!🫶🏾Yesu Kristo ni nani kwako?Tutumie ujumbe au maoni ili utuambie Yesu Kristo ni nani kwako?    ...
02/08/2024

Yesu Kristo ni kila kitu!🫶🏾

Yesu Kristo ni nani kwako?

Tutumie ujumbe au maoni ili utuambie Yesu Kristo ni nani kwako?

12/03/2023

Tunapenda kusoma Isaya 1:18 na andiko zaidi kuhusu Yesu Kristo!

Ni andiko gani unalopenda zaidi kuhusu Yesu Kristo?

10/06/2023

Yesu Kristo anatualika sote kumfuata. Njia moja tunaweza kufanya hivyo ni kupitia ubatizo. Kwa nini unafikiri ubatizo ni muhimu?

Kwa nini watu huomba?Maombi hutuunganisha na Mungu na hutusaidia kuhisi upendo na msaada Wake. Unawezaje kutumia amani, ...
10/03/2023

Kwa nini watu huomba?

Maombi hutuunganisha na Mungu na hutusaidia kuhisi upendo na msaada Wake. Unawezaje kutumia amani, furaha, nguvu na baraka zake maishani mwako?

Tutumie ujumbe wa kuomba pamoja nasi!🙏

Address

2721 E 63rd Avenue
Spokane, WA
99223

Opening Hours

Monday 10am - 9pm
Tuesday 10am - 9pm
Wednesday 10am - 9pm
Thursday 10am - 9pm
Friday 10am - 9pm
Saturday 10am - 9pm
Sunday 10am - 9pm

Telephone

+15095948969

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yesu Kristo Anaishi - Spokane posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share