03/29/2024
Shalom mwana wa Mungu!Baba anakupenda sana
Mithali 8:17
[17]Nawapenda wale wanipendao,
Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Nipende kukukaribisha leo kwenye semina ya neno la Mungu iliyobeba ujumbe wa Pasaka.
Mualike na yeyote umpendae na unatamani uingie nae uzimani
Nitafundisha na kukujuza siri kubwa iliyopo ndani ya Pasaka.
Usiishie kusheherekea pasi na kufaham nini hasa maana ya Pasaka.
Karibu EAGT VIROBO (Holy Place International Church)
Unaweza kutufuatilia kwa mitandao ya kijamii
Facebook: Ansgar Magnus
Instagram: Ansgar Magnus
Twitter: Ansgar2017 in Jesus #
Whatsapp: 0749000015