Advent Broadcast Network Swahili

Advent Broadcast Network Swahili Advent Broadcast Network Swahili ni Page Dada ya Advent Broadcast Network.

Hii imelega zaidi kuwafikia Watu wanaozungumza kiswahili sehemu mbailimbali Ulimwenguni hasa ikiwa Africa Mashariki.

08/29/2025

Wale wote watakaokuwa wamepigwa muhuri wa Mungu kwenye vipaji vya nyuso zao hawataikana imani yao wakati wa dhiki kuu ya mwisho!!

πŸ”₯ Onyo la Mwisho kwa Dunia Limefika – Je, Uko Tayari?πŸ“– Ufunuo 14:9–10 β€œMtu ye yote akimsujudia yule mnyama na sanamu yak...
05/07/2025

πŸ”₯ Onyo la Mwisho kwa Dunia Limefika – Je, Uko Tayari?
πŸ“– Ufunuo 14:9–10 β€œMtu ye yote akimsujudia yule mnyama na sanamu yake,
na kupokea chapa juu ya kipaji cha uso wake au juu ya mkono wake,
yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu...”

07/05/2023

Utasimamaje wakati wa dhiki kuu uijiao ulimwengu?
Unaweza kupata muendelezo wa mahubiri haya kupitia YouTube channel yetu ya /videos

05/11/2023

"Wakati wa taabu uliyombele yetu"
mahubiri haya yataanza kurushwa hivi karibuni kwenye
Hope Channel Tanzania, Hope Channel Kenya.

02/06/2023

Bwana Mlinzi wetu Zaburi 121
#

01/11/2023

Bwana Ndiye Mchungaji wangu. Zaburi 23
Zaburi hiyo inatumia kielelezo cha mchungaji kuwatunza kondoo wake kueleza hekima, nguvu na fadhili za Mungu wetu.

12/29/2022

Zabauri 91
Kuishi kwenye Ngome ya Mungu!!πŸ¦Έβ€β™‚οΈ

12/18/2022

Haja ya Moyo
Kurasini SDA Choir- Tanzania
Kurasini, Dar Es Salaam, Tanzania

Address

14300 Cornerstone Village Drive Ste 126
Houston, TX
77379

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Advent Broadcast Network Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Advent Broadcast Network Swahili:

Share