06/13/2026
Unatafuta kanisa kwa Kiswahili katika San Diego? Njoo kumabudu Bwana Mungu nasi kesho saa tano asubuhi(11:00am)! Tunajua kupitia kuja kanisani, kusikia mafundisho mazuri, kula sakramenti, na kusanyikwa pamoja na Wakristo wengine tunaweza kujenga uhusiano zetu na Mungu.
Anwanyi la kanisa - 1270 S Orange Ave, El Cajon, CA 92020
https://www.churchofjesuschrist.org/?lang=swa