06/03/2026
❤️ H A P P Y B I R D H D A Y ❤️
Jamani our Dear Friends and Family, Nawaomba Mnisaidie Kumtakia Happy Birthday Mume Wangu Kipenzi na Pastor Wetu.
Mume Wangu Mpenzi Pastor Donis, Hakika Wewe ni Mume, ni Baba, ni Mwanaume wa Shoka KweliKweli. Umenitunza, Umenikuza, Umenifundisha Meengi, Umeniombeaaa, Umenionya, Umenitengeneza saanaaa mpaka Nimekuwa Hivi Nilivyo. Nakupendaaaaaa . . . . !
Siku zootee Napenda saana Kupendwa na Wewe Manake Unajua saana Kupenda, Kutunza, Kuhudumia, Kunisaidia sanaaa. Mume Wangu Nakutakia a Very Best Happy Birthday Leo na hata wiki yoote hii. You are THE MAN of my Dreams Donnie. MUNGU Akuongezee Miaka Mingi sana ya Furaha, Amani, Afya Njema, na Mafanikio Makuuuubwaaa Sana.