09/08/2026
Watu wa Mungu, ninawakaribisha kwa moyo wangu wote kwenye Ibada ya Maombi na Maombezi leo. Ni wakati wa kusimama pamoja katika uwepo wa Mungu, kumsifu, kulisikia Neno lake na kuleta mahitaji yetu mbele zake kwa imani.
Usije peke yako—mwalike na mwingine. Ninaamini Mungu ana jambo maalum kwa ajili yako leo.
Saa 11:30 jioni hadi 1:30 usiku
Runngwe Hotel, Sinza Afrika Sana.
Karibu sana, nitafurahi kukuona.