First United Methodist Church Of Akron

First United Methodist Church Of Akron Swahili service of the first united Methodist church of Akron🇺🇸
🔴Kila jumapili
10:00AM - 12:00PM
📍 263 E Mill St, Akron, OH 44308, United States🇺🇸

📖 “Tazama, nimekuwekea mbele yako mlango ulio wazi, ambao hakuna awezaye kuufunga.”— Ufunuo 3:8Katika mwaka wa 2026, uta...
01/02/2026

📖 “Tazama, nimekuwekea mbele yako mlango ulio wazi, ambao hakuna awezaye kuufunga.”
— Ufunuo 3:8

Katika mwaka wa 2026, utaona mungu akifungua milango ya baraka
milango ya neema, mafanikio na amani.
Kile kilichokuwa kimefungwa kitafunguliwa,
kile kilichocheleweshwa kitafika kwa wakati wake.

Tembea kwa imani na bidii,
maana Mungu yuko mbele yako akitengeneza njia.
2026 ni mwaka wa ushuhuda!

Tunawatakiya Christmas njema 🎄
12/27/2025

Tunawatakiya Christmas njema 🎄

12/26/2025

Address

265 E Mill St,
Akron, OH

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when First United Methodist Church Of Akron posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category