Amini na Uishi

Call Directions

Amini na Uishi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amini na Uishi, Religious Center, Africa, OH.

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele Yohana 3:16

Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi 1timotheo 1:15b

Basi ikiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo  yatafuteni yaliyo ya juu tu...yafikirini yaliyo juu sio yaliyo katika nchi. Kwa...
02/28/2023

Basi ikiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo yatafuteni yaliyo ya juu tu...yafikirini yaliyo juu sio yaliyo katika nchi. Kwa maana mlikufa na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo.
Basi vifisheni viungo vilivyo katika nchi uasherati tamaa mbaya,mawazo mabaya na kutamani ndiyo ibada ya sanamu kwa ajili ya hayo huja ghadhabu ya Mungu. Katika hayo nanyi mlitembea zamani mlipoishi lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote hasira na ghadhabu na uovu na matukano na matusi vinywani mwenu, msiambiane uongo kwakuwa mmevua kabisa utu wa kale pamoja na matendo yake.
Kolosai 3:1-11

Mambo haya uyaagize  na kuyafundisha. Mtu awaye yeyote  asiudharau ujana wako, Bali uwe kielelezo kwa waaminio katika us...
02/25/2023

Mambo haya uyaagize na kuyafundisha.
Mtu awaye yeyote asiudharau ujana wako, Bali uwe kielelezo kwa waaminio katika usemi na mwenemdo na katika upendo na imani na usafi 1timotheo 4:11-12

Bwana akujibu siku ya dhikiAzikumbuke sadaka zakoNa kuzitakabali dhabihu zakoAkujalie kwa kadri ya haja ya moyo wakoNa k...
02/20/2023

Bwana akujibu siku ya dhiki
Azikumbuke sadaka zako
Na kuzitakabali dhabihu zako
Akujalie kwa kadri ya haja ya moyo wako
Na kuyatimiza mashauri yako yote

Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya,na kwa ajili ya haya Mimi nalikuja ulimwenguni ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hi...
02/14/2023

Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya,na kwa ajili ya haya Mimi nalikuja ulimwenguni ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu Yohana 18:37c.

Mimi na wewe tumezaliwa kwa ajili gani? Tumezaliwa tukue tuoe na kuolewa tufanye biashara na kusomesha tuzeeke na kufariki? Kuna kitu tumezaliwa tukifanye duniani Ni kipi hicho? K**a hujakijua hujatambua wewe Ni Nani? Unataka kujua?

Milima itaondoka  na vilima vitaondolewa  Bali wema wangu hautaondoka kwako, Wala agano langu la amani halitaondolewa kw...
02/13/2023

Milima itaondoka na vilima vitaondolewa Bali wema wangu hautaondoka kwako, Wala agano langu la amani halitaondolewa kwako
Isaya 54:10

Utathibitika katika haki, utakuwa mbali na kuonewa kwa maana hutaogopa na mbali na hofu kwa maana haitakukaribia.
Tazama yamkini watakusanyana lakini so kwa shauri langu, watu wote wataokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako isaya 54:14

"Amini amini nawaambia saa inakuja na saa ipo wafu watakapoisikia  sauti ya mwana wa Mungu na wale waisikiao watakuwa ha...
02/13/2023

"Amini amini nawaambia saa inakuja na saa ipo wafu watakapoisikia sauti ya mwana wa Mungu na wale waisikiao watakuwa hai
yohana 5:25

Maneno ya Mungu ni pumzi iliyo hai ambayo mtu akiyasikia anakuwa hai

Amini amini nawaambia  yeye alisikiaye neno langu  na kumwamini Mungu ana uzima wa milele wala haingii hukumuni Bali ame...
02/13/2023

Amini amini nawaambia yeye alisikiaye neno langu na kumwamini Mungu ana uzima wa milele wala haingii hukumuni Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani
Yohana 5:24

Yohana 10:10 "Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu Mimi nilikuja  ili wawe na uzima kisha wawe nao tele"Shetani h...
02/12/2023

Yohana 10:10
"Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu Mimi nilikuja ili wawe na uzima kisha wawe nao tele"

Shetani haji bure katika maisha yetu huja ili aibe baraka zetu aharibu mipango mizuri tuliyonayo achinje na kutuua kupitia dhambi.
Yesu alikuja ili arudishe vilivoibwa tangia edeni atengeneze uhusiano ulioharibiwa baada ya dhambi na kutupa uzima
Mchague Yesu Uishi

Yohana 10:10"Mwivi  haji ila aibe na kuchinja na kuharibu Mimi nalikuja ili wawe na uzima kisha wawe nao tele"Shetani ha...
02/12/2023

Yohana 10:10

"Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu Mimi nalikuja ili wawe na uzima kisha wawe nao tele"

Shetani haji bure katika maisha yetu huja ili aibe baraka zetu aharibu mipango yetu na kusababisha kifo lakini Yesu alikuja kurudisha vilivyoibwa tangu kipindi Cha edeni amekuja kurudisha ukombozi ulioharibiwa na amekuja kutupa uzima wa milele.
Mchague Yesu uishi

Address

Africa, OH

Telephone

+255656330063

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amini na Uishi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share