Pastor Sinabajije Pacifique

Pastor Sinabajije Pacifique Welcome to the church of revelation and spiritual deliverance in the world (ERDSM KYAKA II)

Hakuna kilicho nifurahisha K**a kuwakuta watu hawa na wangali wanasimama na kuendelea na kazi ya Mungu   District. Mungu...
09/12/2024

Hakuna kilicho nifurahisha K**a kuwakuta watu hawa na wangali wanasimama na kuendelea na kazi ya Mungu District. Mungu usifiwe!!!

Unaweza Baba
12/09/2024

Unaweza Baba

Toujours ERDSM KYAKA II, Njoo uone mkono wa Mungu!
12/07/2024

Toujours ERDSM KYAKA II, Njoo uone mkono wa Mungu!

Hakika Mungu ulionekana!!
24/04/2024

Hakika Mungu ulionekana!!

Kupitia heri ya kuzaliwa kwetu, tumeungana na wajane n'a mayatima Pia walemavu!!! Aksanti Mungu kwa kutuwezesha!!!!!
11/12/2023

Kupitia heri ya kuzaliwa kwetu, tumeungana na wajane n'a mayatima Pia walemavu!!! Aksanti Mungu kwa kutuwezesha!!!!!

Walio ndani ya Yesu ni washindi!!! Tunapambana n'a tutapambana mpaka mwisho!
09/08/2023

Walio ndani ya Yesu ni washindi!!! Tunapambana n'a tutapambana mpaka mwisho!

It was a special day ! God bless CWBT ministry!!!
18/07/2023

It was a special day ! God bless CWBT ministry!!!

03/06/2023
15/05/2023

Ni kwa neema tu

Aksanti Baba kwa kazi yako
23/12/2022

Aksanti Baba kwa kazi yako

20/10/2022

Zaburi 71:1-5
1Nimkukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele.
2Kwa haki yako uniponye, uniopoe, unitegee sikio lako, uniokoe.
3Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Nitakakokwenda siku zote. Umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome langu.
4Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, katika mkono wake mwovu, mdhalimu,
5Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu! AMEN

Na iwe ombi kwako!

Send a message to learn more

Address

Kyegegwa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Sinabajije Pacifique posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Sinabajije Pacifique:

Share

Category