Interfaith and Gender Mainstreaming Programme - Zanzibar

Interfaith and Gender Mainstreaming Programme - Zanzibar The Programme strives to achieve gender equality and promote co-existence and stability across different faiths for sustainable development in Tanzania.

Training on Monitoring, Evaluation and learning  for  Implementers of Interfaith and Gendermainstreaming Project in Zanz...
20/07/2021

Training on Monitoring, Evaluation and learning for Implementers of Interfaith and Gendermainstreaming Project in Zanzibar. The training facilitated by Senior Consultant and CEO Mr. Daniel Nicholas Mvella From Kapasiesio Ltd.

12/06/2021

Jela kwa kumbaka mtoto wa Miaka 9

Anaandika Amina Ahmed kutoka Pemba

Kijana Muhsin Issa Ali ( 29) Makaazi wa Madungu chake chake Pemba amehukumiwa kwenda chuo cha mafunzo miaka 14 pamoja na kutozwa faini baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kutorosha na kubaka msichana wa miaka tisa.

Akitoa hukumu ya shauri hilo Hakimu wa mahkama ya Mkoa Chake Chake Abdul- razak Abdul- kadir Ali amesema hukumu hiyo imetolewa baada kusikilizwa ushahidi wa pande zote mbili .

Kijana Muhsin katika kosa la kwanza ambalo ni kutorosha msichana amehukumiwa miaka 10 na kosa la ubakaji amehukumiwa miaka 14 pamoja na kumlipa faini shilingi milioni mbili ambapo kwa mujibu wa hakimu huyo hukumu hiyo itaenda sambamba katika kutumiakia hukumu ya kutorosha na ubakaji.

Imeelezwa mahakama hapo kwamba Kijana huyo alitenda makosa hayo yote mawili mnamo siku ya tarehe saba mwezi wa Tatu mwaka 2021 huko Madungu Chake Chake muda wa saa kumi kamilii jioni .

Aidha Imeelezwa kuwa Kijana huyo alimtorosha msichana huyo kutoka nyumbani kwao alikokuwa akicheza mpaka kwenye nyumba iliyokuwa haijamaliza kujengwa na kumfanyia kitendo ubakaji jambo ambalo ni kosa
Kwa mujibu wa kifungu cha 113( 1)a cha sheria ya adhabu sheria namba sita sheria ya zanzibar pamoja na kifungu 108 (1)(2) e na 109 (1)cha sheria ya adhabu sheria ya adhabu sheria nambari 6 sheria ya zanzibar.

Uamuzi wa mahakama huo hii leo hapa katika kijana huyo itakuwa funzo kwa jamii ili kuzuia viyendo vya udhalilishaji kwa wanawake na watoto.

Tupinge ukatili wa kijinsia  "Mabadiliko yanaanza na mimi."πŸ’ͺπŸ’ͺ
05/12/2020

Tupinge ukatili wa kijinsia "Mabadiliko yanaanza na mimi."πŸ’ͺπŸ’ͺ

Disemba 3 kila mwaka ni maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu. Katika kuadhimisha siku hii tunakusihi kuheshimu haki...
03/12/2020

Disemba 3 kila mwaka ni maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu. Katika kuadhimisha siku hii tunakusihi kuheshimu haki za kila binadamu bila ubaguzi.


_

Repost from our partner Legal and Human Rights Centre

03/12/2020

MAADHIMISHO YA SIKU 16 KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.

Tunawakaribisha watu wote kuungana nasi Katika Matembezi ya pamoja kwaajili ya kupaza sauti Kupinga Ukatili wa Kijinsia katika jamii.

Ni Jumamosi tar 05 Disemba 2020 Keshokutwa.

Wote tutakutana Kanisa la KKKT Usharika wa Tabata Kuu kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Tutaanza Matembezi kuanzia Tabata Magengeni mpaka Uwanja wa wazi wa Tabata Shule ilipo Shule ya Msingi Mtambani.

Nawakaribisha wote watu wote kutoka pand zote

Njooni Tuungane pamoja katika kupaza sauti tuukate Ukatili wa Kijinsia.

Tunategemea kuwa na Mkurugenzi wa Wanawake na Watoto KKKT Tinna Nillan kutoka KKKT Makao Makuu-Arusha

Tunategemea kuwa na Mratibu wa Kitaifa wa Walking the Giant Program Mchg Modest Pesha kutoka CCT Makao Makuu.

Tunategemea kuwa na Mabalozi wa Vijana 10 kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Zanzibar.

Tunategemea kuwa na Country Repsentative wa Kanisa la Sweden Kerstin BergeΓ₯.







MNAKARIBISHWA

Thank you Zanzibar Female Lawyers (ZAFELA) for a good discussion about the current situation in Zanzibar on gender based...
30/09/2020

Thank you Zanzibar Female Lawyers (ZAFELA) for a good discussion about the current situation in Zanzibar on gender based violence especial for Women And Children. Together we can.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Women baraza. i.e. women of different faiths have been able to meet and discuss more about gender, sexual health and  ri...
18/09/2020

Women baraza. i.e. women of different faiths have been able to meet and discuss more about gender, sexual health and rights .The baraza were good and most women were able to realize their rights while being abused.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

A woman explaining. Confidently about the lesson she learnt and how she can solve challenges facing her community. that'...
17/09/2020

A woman explaining. Confidently about the lesson she learnt and how she can solve challenges facing her community. that's a good result because some women were so embarrassed they couldn't express themselves in public.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Successful storyWomen from Urban west in Unguja  have been able to join together to cultivate vegetable gardens and sell...
17/09/2020

Successful story
Women from Urban west in Unguja have been able to join together to cultivate vegetable gardens and sell Tanzania 50,000 shillings a day. The money they earn is used to support the family.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Women from different faith in Nungwi ward North of Unguja  explaining how they applied  the training they received    ab...
17/09/2020

Women from different faith in Nungwi ward North of Unguja explaining how they applied the training they received about gender, sexual health and rights. Women express their ideas with confidence. πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Upendo women empowerment Ltd, Empowering women  economically   through Sewing school and IR- VICOBA. Upendo provided ToT...
10/07/2020

Upendo women empowerment Ltd, Empowering women economically through Sewing school and IR- VICOBA. Upendo provided ToTs training ( Trainer of Trainees Training ) To increase knowledge and capacity building for some of IR-VICOBA members both from Unguja and Pemba Island.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Address

Zanzibar

Telephone

+255718974343

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Interfaith and Gender Mainstreaming Programme - Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Interfaith and Gender Mainstreaming Programme - Zanzibar:

Share