Efatha Ministry-Zanzibar

Efatha Ministry-Zanzibar Healing and Deliverance by blood of JESUS...(Marc 7:34)

IBADA YA MKESHA8/5/2026
09/05/2026

IBADA YA MKESHA
8/5/2026

IBADA YA JUMAPILI22/02/2026©MCHUNGAJI KIONGOZI HERIEL NELSON Malango katika Nguvu ya maamuziNguvu ya ma'am,uziMathayo 18...
22/02/2026

IBADA YA JUMAPILI
22/02/2026
©MCHUNGAJI KIONGOZI HERIEL NELSON

Malango katika Nguvu ya maamuzi
Nguvu ya ma'am,uzi
Mathayo 18:18
Inawezekana Kufunga Malango ya kuzimu/mlango ya vizazi

Ili kutembea na hii nguvu unatakiwa:-
1. Sema kwa imani - unapoomba, tamka
2.ishi kwa utakatifu-jitambue wewe ni nani.
3. Uwe na Neno ndani yako
Mamlaka bila maisha ya Haki hiyo Mamlaka haina nguvu.

Milango ya maisha yako.
Mithali 4:23
Iko milango minne ya maisha yangu amabyo wewe mwenyewe ndio una Mamlaka nayo

1.Macho - yale unayo angalia - Chochote unachoangalia kinakupa Nuru au giza la Namna fulani.

2.Masikio-yale unayo sikiliza yanaweza kuondoa Mamlaka uliyonayo
3.Akili/ubongo-yale unayowaza, kitu gani kinatembea kwenye mawazo yako.
4.Moyo-Yale unayohifadhi, unahifadhi Nini moyoni mwako
Adui anaingia Kupitia malango yalio wazi.
Usipambane kumfukuza Adui kwa maombi huku unamfungulia milango

Malango ya Adui yanadhibitiwa kwa mambo yafuatayo.
1. Omba
2.tabia ya kufunga mara kwa mara
3.Taja Familia yako, Ndoa yako, Kazi yako(Namna unavyotamka and kuhusu hayo, ndivyo unavyomkumbusha Mungu.

Kwa kufanya hayo, unaijenga madhabahu kwenye maisha yako.
Madhabahu yako ya Siri, huamua Ushindi wako hadharani

Hebrania 10:7

IBADA YA JUMAPILI14/9/2025 KULINDA NAFASI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.Chochote kinachotokea mwilini kinaanzia katika. ulimw...
17/09/2025

IBADA YA JUMAPILI
14/9/2025
KULINDA NAFASI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.

Chochote kinachotokea mwilini kinaanzia katika. ulimwengu wa roho.
¶Adui anakufanya uangalie mambo ya nje na usahau KULINDA katika ulimwengu wa roho.

Ukiona Kuna changamoto Mahali ujue imeanzia rohoni, ukiona una utoshelevu ujue ulianzia rohoni.,hata yule ambaye akikaa anaona kufa kufa, ujue tayari walishaumuua katika ulimwengu wa roho.
Tangu Leo jifunze kulinda mambo au vitu katika ulimwengu wa roho ili uwe salama.

Soma.
Efeso 1:4-8
1samwel 25:39
OMBA.
Nafasi yoyote ambayo ilifutwa, nyang'anywa na
kupotezwa kwa Mamlaka ya Jina na Damu ya Yesu irudi.I 1Samwel 16:1-13
MUNGU ANAKWENDA KULIPIZA KISASI KWA AJILI YAKO

Uwe vile Mungu alivyokukusudiana pale alipokuweka na ukae pale unapotamani kuwa.
Amen

©MTUME SUZAN MUNGY.

Ni jpili hii, pale Ukumbi WA CCM AMANI MKOA. Kuanzia saa 3 kamili asubui. Wote mnakaribishwa walete wagonjwa wenye shida...
20/08/2025

Ni jpili hii, pale Ukumbi WA CCM AMANI MKOA. Kuanzia saa 3 kamili asubui. Wote mnakaribishwa walete wagonjwa wenye shida mbalimbali. Ibada itaongozwa na mtu WA Mungu Mchungaji Kiongozi Herry Nelson.

24/07/2025
24/07/2025
22/07/2025

The Doings of the Holy spirit.


*IBADA YA JUMAPILI18/5/2025*  *LUKA 4:18*  *Roho ya Bwana Iko juu ya wapakwa Mafuta.* Unawajuaje wapakwa Mafuta?1)wamebe...
18/05/2025

*IBADA YA JUMAPILI
18/5/2025*

*LUKA 4:18*

*Roho ya Bwana Iko juu ya wapakwa Mafuta.*
Unawajuaje wapakwa Mafuta?
1)wamebeba Habari njema.
Habari njema huwa inaenda pale Habari mbaya ilipotangulia, pale ambapo Akili yako ilipoishia Mahali ambapo huoni mbele Wala muelekeo.
Penda kuwasikia waliobeba Habari njema /Neno la Mungu/ahadi za Mungu.
Neno la Mungu linapatikana Mahali pa ibada, pale unapopata nguvu.

_Kwanini habari njema?_
Kwa sababu ulimwengu umeathiriwa na habari mbaya. Na habari mbaya Inaondoa hatma njema ya mtu.

2)Hutangaza kufunguliwa waliofungwa.

*²wakorintho 4:18.*
Ukipokea ukombozi wako jua kujinenena Habari njema kwenye Maisha yako.

3)Vipofu hupata kuona Tena.
Kutokuona unaenda wapi huo ni upofu.
Watu wanaoona huwa hawaigi wenzao wanacho fanya bali wanaona Kile wao wanachotakiwa kufanya na vitu vikatokea.
_ukikutana na wapakwa Mafuta unapata kuona.

4)kuwaacha huru waliosetwa.
Wale wote walio vifungoni, kwenye makandamizo hupokea uhuru wao.

5)kutangaza Mwaka WA Bwana.
Ni kawaida ya wapakwa Mafuta kutangaza kwa Habari ya Mwaka Kila majira na vipindi mbali mbali vinapokuja

Anza kutangazia maisha yako mema.

*©Mchungaji Kiongozi Heriel Nelson Sechuma.*

SIKU YA KUMI NA SABA YA KUFUNGA NA KUOMBA.Siku ya leo ni ya muhimu sana, tukumbuke utambulisho wetu k**a watoto wa kifal...
17/05/2025

SIKU YA KUMI NA SABA YA KUFUNGA NA KUOMBA.

Siku ya leo ni ya muhimu sana, tukumbuke utambulisho wetu k**a watoto wa kifalme wa Mungu. Sisi ni wateule kwa kusudi la kipekee na baraka za Mungu tayari zimetayarishwa kwa ajili yetu.

Haijalishi changamoto unazokumbana nazo, kumbuka kwamba neema ya Mungu ya tosha na nguvu zake hukamilika katika udhaifu wetu. Songa mbele kwa ujasiri, ukijua kwamba kila jaribu ni fursa ya kukua na kila wakati uko mikononi mwa Mungu. Amani yako iwe kuu kuliko hofu zako na utaona jinsi anavyobadilisha hali yako kwa mema.

Isaya 41:10 "usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu."

17/05/2025

Address

Kianga
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Ministry-Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Ministry-Zanzibar:

Share