Ikram Hajj and Umrah Trust

Ikram Hajj and Umrah Trust We are serving limitless and we signify the best by Allah’s grace. Use IKRAM for your hajj/Umrah and Inshallah you will feel the difference.

Tunaendelea Kufanya usajili wa Mahujaji kwa Mwaka wa 2018 sawa na 1439H. Tembelea Ofisi yetu ilokuepo Masjid Assalaam Ml...
01/01/2018

Tunaendelea Kufanya usajili wa Mahujaji kwa Mwaka wa 2018 sawa na 1439H. Tembelea Ofisi yetu ilokuepo Masjid Assalaam Mlandege Zanzibar

10/12/2017
Muungano wetu katika imaan ndio mafanikio yetu Alhamdulillah.
17/11/2017

Muungano wetu katika imaan ndio mafanikio yetu Alhamdulillah.

Assalaam Alykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zetu katika Imaan, IKRAM HAJJ inawatangazia waislamuu woote kua watapel...
16/11/2017

Assalaam Alykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zetu katika Imaan, IKRAM HAJJ inawatangazia waislamuu woote kua watapeleka mahujaji mwaka 2018 sawa na mwaka 1439 kwa dola za kimarekani $3800.

Gharama hizi ni pamoja na malazi Makkah na Madina (Karibu na Haramain), Chakula cha kila siku (Milo mitatu), Kuchinja, Nauli ya Ndege, Mahema ya Mina (Class B+, yenye masofa ya kulalia na Kiyoyozi, Pamoja na chakula ) pamoja na mambo mengine ya lazima yatakayotolewa na Jumuiya.

Tunapenda pia kukujuulisheni kua Ikram Hajj tunaangalia zaidi maslahi ya hujaji ili aweze kutekeleza ibada yake kwa mujibu wa Sunna sahih ya Mtume (Swallallahu Alayh Wassallam).

Hivi sasa tunaendelea na usajili kupitia ofisi zetu zilokuepo Mlandege Masjid Assalaam pamoja na wakala wetu waliotajwa kwenye Brochures hizo hapo chini.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana kwa dharura muda wowote kwa kupewa taratibu zoote za usajili.

+255777418355 Amir Rashid Khalfan (Mlandege)
+255777473064 Ali Yussuf (Markaz Mombasa)
+255777423926 Said Khamis (Mpendae)
+255779846313 Sheikh. Abubakar (Masjid Assalaam Mlandege)
+255778376700 Mohamed Yahya (Mlandege)
+255777197999 Mohamed Mahrouq (Darajani)
+255777460271 Sultan Mkubwa (Mombasa)
+255777413533 Salim Suleiman (Kikwajuni)
+255774270148 Abubakar Kahtan (Vuga)
+255778672233 Khalid Mahboob (Mlandege)

" Wabillahi Tawfiq"

Address

Mlandege
Zanzibar
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikram Hajj and Umrah Trust posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ikram Hajj and Umrah Trust:

Share