Pentecostal Assemblies Of God TZ Zanzibar

Pentecostal Assemblies  Of God TZ Zanzibar Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pentecostal Assemblies Of God TZ Zanzibar, Religious organisation, CHUKWANI, Zanzibar.

PAGT ni kanisa la kipentecoste llilopo Chukwani Zanzibar
Chini ya Mchungaji kiongozi Askofu Amos Rukanula

Kwa maombi na mwawasiliano unaweza ukawasiliana nasi kupitia.
+255713254045
Mungu akubariki sana BWANA YESU ASIFIWE Mpendwa msomaji lengo la ukurasa huu ni kujifunza neno la MUNGU Pamoja na kusaidiana kwa ushauri wa Kiroho (biblical) pamoja na maombezi karibu sana tujifunze pamoja.

28/08/2026

Tukutane saa kumi kamili Semina inaendelea Karibu
☎️0713254045

28/08/2026

Mimi nimeokoka sifanyi hivyo. Nanyaro

28/08/2026

Karibu kwenye semina ya neno la Mungu leo saa kumi jioni na Mchungaji Marko Nanyaro kutoka Arusha mahali ni PAG Chukwani ☎️0713254045

27/08/2026

Semina ya Neno la Mungu siku ya pili leo tabia zetu zimeshughulikiwa kusawa sawa
Mchungaji Marko Nanyaro kutoka Arusha
somo zima lipo youtube zanzibar

26/08/2026

Karibu kwenye semina ya Neno la Mungu iliyoanza leo 26/08/2026 hadi 30
/08/2026

25/08/2026

Mark 16:15
[15]And he said unto them, Go ye into all the world, and preach the gospel to every creature.

21/08/2026

Sikiliza mpaka mwisho

20/08/2026

Sikiliza mpaka mwisho
Je kati haya lipi limekugusa?????
Mwl: Elia Ramadhani

19/08/2026

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Mathayo 7:3
@ Mama Bishop Amos Rukanula
☎️0713254045

17/08/2026

Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.

Yohana 6:27
@ Bishop Amosi Rukanula
☎️0713254045

Address

CHUKWANI
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentecostal Assemblies Of God TZ Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pentecostal Assemblies Of God TZ Zanzibar:

Shortcuts

Share