Zicc kariakoo

Zicc kariakoo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zicc kariakoo, Religious organisation, P. O. Box 1632, Zanzibar City.

We are a Pentecostal church (Assembly of God affiliations) in Zanzibar, with the growing in Multinational membership hence Called Zanzibar International Christian Center

06/09/2026

🔴MBASHARA: Ibada ya JumapiliBishop Dickson D. Kagangaa

06/09/2026

🔴LIVE: International Sunday ServiceZicc kariakooo

HABARI NJEMA! 🎉📺Sasa unaweza kuitazama Joy Gospel TV mubashara, masaa 24, moja kwa moja kwenye simu yako—popote ulipo du...
05/09/2026

HABARI NJEMA! 🎉📺

Sasa unaweza kuitazama Joy Gospel TV mubashara, masaa 24, moja kwa moja kwenye simu yako—popote ulipo duniani! 🌍

Unachohitaji ni intaneti pekee (Hakuna malipo)

📲 Jinsi ya kutazama:

Pakua Twitch kupitia Play Store au App Store.
Fungua programu ya Twitch.
Tafuta JOY GOSPEL TV kwenye sehemu ya Search.
Jiunge nasi mubashara na ufurahie vipindi vyetu masaa 24/7.

Joy Gospel TV — Injili Iendelee🙏📡

05/09/2026

Usikose kuja kumsifu na kumwabudu MUNGU wetu kesho Jumapili hapa Zicc kariakoo mahali pa . Usisahau kumkaribisha ndugu na jamaa yako.

05/09/2026

🔴LIVE: Anza siku na Bwana leo 05 September 2026

03/09/2026

🔴LIVE: Anza siku na Bwana leo 03 September 2026

02/09/2026

Usije kanisani na nguo za kuogelea!
Zicc kariakoo

Ni muhimu kuwa na macho ya Rohoni maishani mwetu!Bishop Dickson D. Kaganga
02/09/2026

Ni muhimu kuwa na macho ya Rohoni maishani mwetu!
Bishop Dickson D. Kaganga

Katika uwepo wa Mungu, mioyo hupata amani na nguvu mpya.
02/09/2026

Katika uwepo wa Mungu, mioyo hupata amani na nguvu mpya.


Katika uwepo wa Mungu tulianza ibada kwa furaha na maombi, tukasikia shuhuda za matendo makuu ya Mungu na kutoa shukrani...
02/09/2026

Katika uwepo wa Mungu tulianza ibada kwa furaha na maombi, tukasikia shuhuda za matendo makuu ya Mungu na kutoa shukrani zetu kwake. Kwaya ya ZARES ilihudumu kwa nyimbo za sifa zilizogusa mioyo ya wengi, huku waumini wakimwabudu Mungu kupitia utoaji wa sadaka kwa furaha. Hakika Mungu ni mwema na anastahili utukufu wote.

Address

P. O. Box 1632
Zanzibar City

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255652631172

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zicc kariakoo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Zicc kariakoo:

Shortcuts

Share