Daru Islamic Seminary

Daru Islamic Seminary Daru Islamic Seminary has the roles to provide better knowledge especially islamic knowledge to the people in the community as well as in the country.

26/06/2022

DARU ISLAMIC SEMINARY
Madrasa ikiwa katika Programu ya Mashindano ya kuwahifadhisha Wanafunzi Hadithi 40 za Imamu NNawawiy

Nyote munakaribishwa

26/06/2022

DARU ISLAMIC SEMINARY
Madrasa ikiwa katika Programu ya Mashindano ya kuwahifadhisha Wanafunzi Hadithi 40 za Imamu NNawawiy

Nyote munakaribishwa

Taasisi ya Daru Islamic Seminary inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema
02/05/2022

Taasisi ya Daru Islamic Seminary inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema

31/10/2021

القراءةُ

23/10/2021

Wadau wa Elimu munakaribishwa kwa michango yenu

Education professionals are all welcome for your contributions

العلم في الصغر كالنكش في الحجر

Remember
19/10/2021

Remember

05/10/2021

السلام عليكم ورحمة الله إخوة؟ كيف حالكم وكيف الأمور؟

Uongozi pamoja na walimu wa Madrasat DARU ISLAMIC SEMINARY unapenda kuchukuwa  fursa hii kuwaomba wazazi/walezi juu ya k...
28/03/2020

Uongozi pamoja na walimu wa Madrasat DARU ISLAMIC SEMINARY unapenda kuchukuwa fursa hii kuwaomba wazazi/walezi juu ya kuwasimamia vyema watoto majumbani katika kipindi hichi cha Gonjwa la dunia la corona COVID 19.

Wazazi wanaombwa kuwasimamia vyema watoto katika kudurusu masoma yao ya elimu ya duniani na akhera ( SKULI na CHUONI).

Sambamba na hayo Uongozi unawaomba walezi na wanajamii kwa ujumla kutengeza mashirikiano ya pamoja hasa katika kipindi hichi ambacho watoto wako nyumbani mda mwingi pamoja na kufuata maagizo yanayotolewa na SERIKALI juu ya kujikinga na Virusi hivyo.

Tuendelee kumuomba Mwenyezimungu atulinde na atuondoshee maradhi haya.

24/05/2019

كنْ مُستعدًا بالإمتحان
رمضان كريم

DARU ISLAMIC SEMINARY ( Matokeo yametoka)Ni matokea ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia madarsa mapya kwa mwaka 2019
13/01/2019

DARU ISLAMIC SEMINARY ( Matokeo yametoka)

Ni matokea ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia madarsa mapya kwa mwaka 2019

الزّيارة هيَ السّياحةُ
12/01/2019

الزّيارة هيَ السّياحةُ

Kutmbea ni kusoma
12/01/2019

Kutmbea ni kusoma

Address

Mtopepo
Zanzibar City

Telephone

+255 772707015

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daru Islamic Seminary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share