Efatha Church Zanzibar

Efatha Church Zanzibar This is the page that connect people with our lord Jesus

14/08/2026

Usiidharau siku ya mwanzo wako.
Huenda leo unaona kidogo, unaanzia chini, na hakuna anayeyaona maono uliyonayo moyoni. Lakini miaka inapopita, Mungu anaweza kubadilisha kabisa kile ulichoanza nacho.

2004 tulikuwa tunaanza.2026 tukiangalia nyuma tunaona neema.
Si kwa nguvu zetu, si kwa uwezo wetu, bali ni kwa mkono wa Mungu uliotushikilia mpaka hapa.

K**a Mungu amefanya hivi kwa safari yetu, usiikate tamaa safari yako. Endelea kusimama, endelea kuamini, endelea kufanya kazi, endelea kumtumikia Mungu.

Mwanzo wako hauamui mwisho wako.
Leo inaweza kuwa hatua ndogo, lakini kesho inaweza kuwa ushuhuda mkubwa.

Tunakaza mwendo—yajayo ni neema tupu.
“Mungu aliyeanza kazi njema ndani yenu ataimaliza.
Wafilipi 1:6

KONGAMANO LA UPONYAJI NA UKOMBOZI DAY 2 RECAP KANISA LA EFATHA MAFINGA
07/08/2026

KONGAMANO LA UPONYAJI NA UKOMBOZI DAY 2 RECAP KANISA LA EFATHA MAFINGA



09/05/2026
11/03/2026
KuchelewaNi bora kuchelewa, lakini ufike unakoenda.Kuliko kuwahi halafu hufiki unakoenda.Ni bora kuchelewa kupata kisha ...
23/01/2026

Kuchelewa
Ni bora kuchelewa, lakini ufike unakoenda.
Kuliko kuwahi halafu hufiki unakoenda.
Ni bora kuchelewa kupata kisha upate kilicho bora kuliko kuwahi kupata vya hovyo!

ONA
IBRAHIM alichelewa kupata mtoto, mwisho alimpata ISAKA hata leo kila mtu anamjua

HANA Allchelewa, lakini mwisho alimpata SAMUEL Nabii mkubwa Duniani wa Bwana!

“Wako wapi wa Penina”

Muda wa Mungu ni bora zaidi kuliko majira ya duniani.

Usiangalie watu wanasemaje
Mungu anayo mema kwa ajili yako, muangalie yeye hatakuangusha!

Address

Kianga Zanzibar
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Zanzibar:

Shortcuts

Share