St. Joseph Cathedral Zanzibar

St. Joseph Cathedral Zanzibar St. Joseph’s Cathedral is the Mother Church of the Diocese of Zanzibar and the seat of the Bishop

31/10/2024
RATIBA ZA KUWASILI NA KUSAJILIWA KATIKA KONGAMANO LA EKARISTIWaheshimiwa Mapadri,Watawa, na Waamini WaleiKristo.Naomba t...
11/09/2024

RATIBA ZA KUWASILI NA KUSAJILIWA KATIKA KONGAMANO LA EKARISTI

Waheshimiwa Mapadri,
Watawa, na Waamini Walei

Kristo.

Naomba tuzingatie yafuatayo kuhusu kuwasili katika Kongamano:
1. Tarehe ya kuwasili ni 11.09.2024
2. ⁠Mahali pa kuwasili ni Msimbazi Center kuanzia saa 9:00 Alasiri ili kusajiliwa kwa wale waliolipia malazi. Kisha baada ya kusajiliwa watapelekwa mahali walipopangiwa kwa malazi.
3. ⁠Kwa wa washiriki wa KUTWA wao wafike Msimbazi Center Alhamisi mapema kabla ya saa 3:00 asubuhi ili wasajiliwe na kuendelea na ratiba ya Kongamano.
4. ⁠Siku ya Alhamisi ambayo ndiyo siku ya ufunguzi Misa itaanza saa 3:00 asubuhi.

Tunawatakieni maandalizi mema.

Katika Kristo,

Pd. Vincent Mpwaji
Chancellor.

Njia mpya ya kuingia na gari Kanisa Kuu la Mt. Yosefu wakati wa matengenezo ya barabara ya Sokione.Kuzuia kukaa foleni m...
26/12/2022

Njia mpya ya kuingia na gari Kanisa Kuu la Mt. Yosefu wakati wa matengenezo ya barabara ya Sokione.

Kuzuia kukaa foleni muda mrefu unaweza kuhifadhi gari katika GSM Parking Iliyo barabara ya samora ilizungushiwa uzio.

How to enter by car into St. Joseph's Cathedral while Sokoine drive is under construction.

To avoid waiting in traffic there is also the GSM Parking lot near the Cathedral off Samora Avenue

Tujenge nyumba ya Bwana pamoja
16/10/2022

Tujenge nyumba ya Bwana pamoja

Uzinduzi wa Grotto ya Bikira Maria tusali rozari
16/10/2022

Uzinduzi wa Grotto ya Bikira Maria tusali rozari

Misa ya Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa AMECEA Mubashara/Live👇
10/07/2022

Misa ya Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa AMECEA Mubashara/Live👇

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊F....

Address

Cathedral Street
Zanzibar City
71140

Telephone

+255765081166

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Joseph Cathedral Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share