29/05/2022
Ibada ya Jumapili May 29, 2022
Na Mch. Camilius
Somo: Kutoka katika mikandamizo
Isaya 1:19
Kula mema ya nchi, lazima ukubali na kutii.
1 King 19:
Ili kutoka kwenye mkandamizo:
1. Lazima ukubali na kutii
2. Lazima uwe tofauti na wengine Ufunuo 22:8
- Jifunze kushika neno la Mungu.
3. Lazima ujue namna ya kutembea katka utakatifu
- Jifunze kutoa sadaka za ukombozi mara kwa mara.
- inakusaidia kukupa ulinzi Ili usimilikiwe na jamii ya kwenu.
- Tunatoa sadaka Ili kujiondoa kwenye kizazincha laana na kuingia kwenye kizazi kilichobarikiwa na BWANA.
- Ukitoa unmauonesha Mungu kua huna mahali pengine pa kukimbilia Ila kwake.
- Ukitoa, Mungu mwenyewe anakuchukua kua wakwake
Hapa inakupasa wewe mwenyewe kuwa na maamuzi magumu Ili kutoka. Maamuzi magumu yanagharama zake, lakini yatakutoa katika utupu wa umaskini na kizazi cha laana.
Yakobo aliitwa yakobo mpaka Rachel alipofariki, ndipo alipewa Jina jipya la Israel. Mungu atakubariki baada ya wewe kutengwa na kinachokuzuilia yaani adui yako.
Zile roho za kuzaliwa na zakuona na kuolewa, zikikutana k**a huna neema ya Mungu maisha yanaishia hapo. Tafuta Sana rehema za Mungu.