Elgibo Christian Center -ECC

Elgibo Christian Center -ECC Elgibo Christian Center ni Kanisa Linalotoa Huduma za Kiroho, kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu.

Historia inatuonesha kuwa katika miaka ya mwanzo kanisa lilisimamiwa na wamishonari wa kimarekani pamoja na wachungaji wa kiafrika wakati huo {Yohana Mpayo [Marehemu] na Petros) waliokuwa maaskofu chini ya Assemblies of God Mission. Kanisa liliendelea kuongozwa katika mfumo huo hadi mwaka 1967. Kanisa la kwanza kabisa la TAG lilikuwapo pale Igale wilaya ya Mbalizi mkoani Mbeya. Ni mwaka huo wa 196

7, uongozi wa Assemblies of God Mission, uliamua kulikabidhi kanisa kwa uongozi wa wenyeji na Mchungaji Immanuel Lazaro, alichaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa kwanza mtanzania wa kuongza Tanzania Assemblies of God (TAG). Kanisa hili liiingia hapa nchini k**a matokeo ya uamsho mkubwa wa Kipentekoste uliotokea kule Azuza Marekani. Hivyo lengo kuu la kuanzishwa kwa kanisa ni kuwafikia wenye dhambi kwa injili iliyo hai, iletayo wokovu na kuleta uamsho mkubwa wa Bwana wetu Yesu Kristo hapa nchini. ili kutimiza lengo hilo ilikuwa lazima watendakazi shambani mwa Bwana waandaliwe tangu utoto.

Address

P. O. BOX 760 USA RIVER
Usa River

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elgibo Christian Center -ECC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share