T.A.G El _Shadai Temple

T.A.G  El _Shadai Temple �Tanzania Assembles Of God
�El_ Shadai Temple Mch: Elisha Moses Majembe
�Mbezi ya kimara Kitu

Karibu sana mpendwa Ni J.pili hii
25/02/2026

Karibu sana mpendwa
Ni J.pili hii

Karibu saaana my friendNi majira ya kukutana na Yesu mtenda miujiza
02/02/2026

Karibu saaana my friend
Ni majira ya kukutana na Yesu mtenda miujiza

Iwish you Happy new month February 2026Nawatakia furaha na baraka tele kwa mwezi huu mpya February 2026Bwana awajalie ku...
01/02/2026

Iwish you
Happy new month February 2026

Nawatakia furaha na baraka tele kwa mwezi huu mpya February 2026
Bwana awajalie kuona matokeo makubwa kwa Kila kazi za MIKONO yenu.

Tunasherehekea maisha ya babaetu Moses Matengele Majembe Mwambigija Ni ngumu kuamini kwamba baba hatunaye tena lakini nd...
22/01/2025

Tunasherehekea maisha ya babaetu Moses Matengele Majembe Mwambigija

Ni ngumu kuamini kwamba baba hatunaye tena lakini ndiyo ilivyo. Mungu amevuna, nasi tunasema asante Mungu wetu kwa maisha ya babaetu ulitupatia k**a zawadi hakika tunakushukuru.

Nikiwa nadhania furaha ya siku yangu ya kuzaliwa kwangu imeishia jana. Ghafla kanisani nakutana na bonge la suprise. Wan...
15/10/2023

Nikiwa nadhania furaha ya siku yangu ya kuzaliwa kwangu imeishia jana.
Ghafla kanisani nakutana na bonge la suprise.

Wanangu wa kiroho wameniandalia keki na zawadi kedekede.

Mbarikiwe sana wanangu, hakika mmejue kunifurahisha.
Bwana Mungu ninayemtumikia awazidishie mema yake.
Asanteni saaaana sana.

22/04/2023
Pongezi nyingi kwa baba Askofu Dr. B. Mtokambali na k**ati yako kwa kusimikwa kuongoza Baraza la makanisa ya Kipentekost...
21/04/2023

Pongezi nyingi kwa baba Askofu Dr. B. Mtokambali na k**ati yako kwa kusimikwa kuongoza Baraza la makanisa ya Kipentekoste Tanzania.
Tukijua majukumu mengi uliyonayo (Askofu mkuu wa kanisa zuri la TAG, Rais wa makanisa ya AG Afrika, Mjumbe wa baraza la makanisa ya Kipentekoste Ulimwenguni na sasa M/kiti wa CPCT Tanzania) tunakuombea Bwana aliyekuona kuwa unaweza hayo majukumu yote awe nawe kwa kila hatua.
Bwana akulinde na kukutunza kokote uendako.
Bwana aendelee kuimarisha afya yako siku kwa siku
Neema ya Bwana na uwezesho wa kila namna uwe juu yako. Amina.

09/03/2023
Kamanda wa Injili Mwinjilisti Tobias Tambikeni kutoka Mbeya ametubariki sana kwenye kongamano la MOTO WA UAMSHO NA MAFAN...
09/03/2023

Kamanda wa Injili Mwinjilisti Tobias Tambikeni kutoka Mbeya ametubariki sana kwenye kongamano la MOTO WA UAMSHO NA MAFANIKIO
Lililoanza Jana hapa TAG EL-SHADAI TEMPLE -MBEZI -KIBANDA CHA MKAA -Dar es salaam

Karibu sana my friend utabarikiwa na hutajutia kabisa kutoa muda wako.

Ni saa 10:00 hadi 12:30 jioni Kila siku mpaka J,mosi
J,pili ni saa 1:00 hadi 5:00 asubuhi.

Tunamshukuru sana Mungu kwa wiki2 za mavuno makubwa kupitia hudama ya BHM, tumekuwa na mikutano miwili ya nguvu. Wiki il...
07/03/2023

Tunamshukuru sana Mungu kwa wiki2 za mavuno makubwa kupitia hudama ya BHM, tumekuwa na mikutano miwili ya nguvu.
Wiki iliyopita tulikuwa kwa Tito -Hai -K/njaro. Na wiki hii tulikuwa kwa Matias Kibaha Pwani ambapo tumemaliza Leo.

Jumla ya Watu 127 wamempa Yesu maisha yao.

Asanteni wote mlioshiriki kufanikisha mikutano hii. Bwana awakumbuke na kuwabariki zaidi na zaidi. Amina

Hii ni vijiji viwili vya kufungua mwaka, Bado tuna vijiji vingine 10 tunavyotakiwa kuvifikia kwa mwaka huu wa 2023

Watu wa Kibaha kwa MatiasKaeni tayari Yesu anapita kwenu
20/02/2023

Watu wa Kibaha kwa Matias
Kaeni tayari Yesu anapita kwenu

Address

Ubungo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G El _Shadai Temple posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share