Official_Uduvi_tv

Official_Uduvi_tv We are.saved by grace

06/09/2025

Onyesha biashara yako kwa ubunifu na urahisi.
Mini-Website kwa TZS 70,000 Pekee

03/10/2022
Injili ni habari njema ya kua Yesu amefanyika mwanadamu na kufa kwa ajili ya dhambi zetu ili sisi tupate ondoleo la dham...
09/07/2022

Injili ni habari njema ya kua Yesu amefanyika mwanadamu na kufa kwa ajili ya dhambi zetu ili sisi tupate ondoleo la dhambi zetu milele or Injili ni habari za Upendo wa Mungu ulio dhirika kwetu kupitia mauti yake msalabani.Injili sio habari ya mtu kuacha dhambi zake mfano walevi, wezi waongo,wazinzi nk Je? Watu ambao hawapo katika makundi hayo yote hawastahili kusikia Injili❓❓❓ Jibu ni hapana.So Injili sio habari za kutenda matendo mema ila Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila binadamu.Mwamini leo ufanyike mwana wake coz anakupenda sanaa upate ondoleo la dhambi zako milele..

Kazi kuu ya damu ya Yesu msalabani ni ukombozi pekee na wala sio kwa ajili ya mali zako (nyumba, mashamba magari) Hivyo ...
04/07/2022

Kazi kuu ya damu ya Yesu msalabani ni ukombozi pekee na wala sio kwa ajili ya mali zako (nyumba, mashamba magari) Hivyo mambo ya kuandika nyumba yangu inalindwa na damu ya Yesu ni ushamba coz Yesu hakufa kwa ajili ya gari (mali)zako . umebarikiwa sanaaa

Let think together
28/06/2022

Let think together

17/06/2022

Karibuni kwenye page yetu

Address

Mbezi
Ubungo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Official_Uduvi_tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Official_Uduvi_tv:

Share