13/07/2026
KUMCHA BWANA KWAONGEZA SIKU ZA MTU
Siri ya kuongeza siku za mtu za kuishi ni kumcha Bwana kwa kumaanisha,nasi ili siku zetu za kuishi zisipunguzwe Bali ziongezwe,tuhakikishe tunamcha Bwana.
Nakutakia siku njema wiki njema yenye ushindi,
Happy New Week.
Mithali 10 : 27 Kumcha Bwana kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.