Efatha Church -Vikunai Branch

Efatha Church -Vikunai Branch Healing and deliverance by the Blood of JESUS

*NAIBARIKI JUMANNE YANGU.* Ni Siku ya Familia; Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo. Asan...
02/12/2025

*NAIBARIKI JUMANNE YANGU.*

Ni Siku ya Familia; Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo.

Asante YESU.

*NENO LA SIKU*Na, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira- Kanisa la Efatha.TAREHE: 02/12/2025 SOMO:  *ANGALIA NAMNA YA K...
02/12/2025

*NENO LA SIKU*

Na, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira- Kanisa la Efatha.

TAREHE: 02/12/2025

SOMO: *ANGALIA NAMNA YA KUONGEA KWAKO*

Lugha inaweza kubadilisha hali ya hewa katika ndoa yako, jinsi unavyoongea na mume wako au mke wako inaweza kusababisha Mungu akawanyima mnachoomba, lakini lugha zenu zikiwa pamoja mtashinda katika yote.

Lugha unayotumia inafungua mlango wa Mungu kushughulika na wewe au shetani. Namna unavyoishi January mpaka December inafungua au kufunga mlango wa kushinda au kushindwa kwako, hivyo kila siku uwe makini sana namna unavyoongea na kutenda, uwe na maneno Machache ili uweze kumshinda shetani.

15/06/2025

This stream is created with

15/06/2025

Leo tutakuwa mubashara kupitia Redio ya Mufindi Fm (107.3) Muda ni kuanzia saa 2:30 Usiku.

Zimebakia dakika chache sana kuelekea kipindi chetu hivyo, Wajulishe wale wote uwapendao ili tujumuike pamoja.

08/02/2025
29/12/2024
29/12/2024
29/12/2024

Address

VIKUNAI, Nearby (KIBADA NSSF Estate)
Temeke

Telephone

+255786967136

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church -Vikunai Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church -Vikunai Branch:

Share