TAG Shekinah MCC

TAG Shekinah MCC Shalom...! Bwana Yesu Asifiwe Karibu ujumuike nasi katika ibada zetu za kila siku za Jumapili, Jumat

27/04/2025

Asaph team wa kimwabudu Mungu
Mungu mwenye nguvu

KARIBU SANA MCC WAZO KONTENA TUSHIRIKI IBADA PAMOJA.  J,PILI  IBADA YA KWANZA INAANZA SAA 07:00 ADI SAA 03:00 NA IBADA Y...
27/04/2025

KARIBU SANA MCC WAZO KONTENA TUSHIRIKI IBADA PAMOJA. J,PILI IBADA YA KWANZA INAANZA SAA 07:00 ADI SAA 03:00 NA IBADA YA PILI INAANZA SAA 10: 00 ADI 12:00

22/04/2025
💥💥💥SEMINA YA MKAZO WA KIROHO💥💥💥💥Kwa upendo na unyenyekevu mkubwa unakaribishwa kujifunza na kupokea mambo muhimu Mungu a...
09/04/2025

💥💥💥SEMINA YA MKAZO WA KIROHO💥💥💥💥

Kwa upendo na unyenyekevu mkubwa unakaribishwa kujifunza na kupokea mambo muhimu Mungu aliyokuandalia. Mtumishi wa Mungu Mch. Abraham Masasi na mkewe watahudumu katika semina hii.





VIJANA TUNAZO NGUVU KULIKO MWANZO....UAMSHO AJENDA YETU, NGUVU ZAIDI...NI mkesha mkubwa wa vijana, wote mnakaribishwa   ...
03/04/2025

VIJANA TUNAZO NGUVU KULIKO MWANZO....
UAMSHO AJENDA YETU, NGUVU ZAIDI...
NI mkesha mkubwa wa vijana, wote mnakaribishwa




Moto bado unaendelea kuwaka hapa TAG MCC.Karibu nawe tuzipokee baraka hizi kwa pamoja.
01/04/2025

Moto bado unaendelea kuwaka hapa TAG MCC.
Karibu nawe tuzipokee baraka hizi kwa pamoja.




Umisheni kuelekea Moshi - Miwaleni.
27/03/2025

Umisheni kuelekea Moshi - Miwaleni.





2 Timotheo 2:20-21[20]Basi katika nyumba kubwa havimo vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali na vya mti, na vya udongo; vi...
19/03/2025

2 Timotheo 2:20-21
[20]Basi katika nyumba kubwa havimo vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali na vya mti, na vya udongo; vingine vina heshima, vingine havina.
But in a great house there are not only vessels of gold and of silver, but also of wood and of earth; and some to honour, and some to dishonour.
[21]Basi ikiwa mtu amejitakasa kwa kujitenga na hao, atakuwa chombo cha kupata heshima, kilichosafishwa, kimfaacho Bwana, kimetengenezwa kwa kila kazi iliyo njema.
If a man therefore purge himself from these, he shall be a vessel unto honour, sanctified, and meet for the master's use, and prepared unto every good work.




LEO TUMEANZA KONGAMANO KUBWA LA UMISHENI HAPA TAG MCC.MOTO UMEWAKA💥💥💥KWAYA NA WAIMBAJI WAPO. WOTE MNAKARIBISHWA
19/03/2025

LEO TUMEANZA KONGAMANO KUBWA LA UMISHENI HAPA TAG MCC.

MOTO UMEWAKA💥💥💥

KWAYA NA WAIMBAJI WAPO. WOTE MNAKARIBISHWA




Wote mnakaribishwa katika ibada hii, ni Jumapili hii tarehe 09/03/2025
08/03/2025

Wote mnakaribishwa katika ibada hii, ni Jumapili hii tarehe 09/03/2025




07/03/2025





Address

Wazo/Kontena
Tegeta

Website

https://www.youtube.com/channel/UCWzO_s3VhQopz0vTX1OW5ig, http

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Shekinah MCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share