Nyangoto SDA Church

Nyangoto SDA Church Lengo la ukrasa huu ni kukujulisha kile kinachojili katika mtaa wa Kiribo hasa Kanisa la Nyangoto kuh

Katika kuitimiza Muhubiri 12:1....''
20/10/2016

Katika kuitimiza Muhubiri 12:1....''

Acheni Watoto Wadogo waende kwa Yesu
20/10/2016

Acheni Watoto Wadogo waende kwa Yesu

14/09/2016

Tunawakaribisha ktk Kambi la vijana Mara Conference.. mkutano utakaoanza Tarehe 18-24/09/2016... Mkutano unaojumuisha vijana Umri wa miaka 16 na kuendelea....., Kambi litafanyikia ktk Kanisa la Waadventista Wasabato-Nyangoto-Nyamongo.." KARIBUNI SANA"

31/07/2016

Litakuwa kambi la Pekee sana

31/07/2016

Takukaribisha katika Kambi la Mtaa wa Kiribo.... Kambi litakaloanza ijumaa hii ya Tarehe 05/08/16, Wanenaji ni Pasta Malekana, Pasta Izungo na Pasta George Ojwang'i..... Njoo tuabudu pamoja katika sikukuu kubwa na ya kipekee kwa Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato.

Atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa Kutufanikishia hili
31/07/2016

Atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa Kutufanikishia hili

06/11/2015

Karibuni ktk Ibada ya kesho' jumamosi hii 07/11/2015' ambapo Makanisa yote ya Mtaa wa Kiribo-Nyamongo tutajumuika ktk Ibada ya pamoja Kanisani Nyangoto" UNAKARIBISHWA NJOO"

unakaribishwa sana
29/10/2015

unakaribishwa sana

07/09/2015
Viongozi wa Kanisa la kesho
07/09/2015

Viongozi wa Kanisa la kesho

21/08/2015

Ahimidiwe mfalme wa Amani kwa kujitwalia kondoo wake 104 katika Mahubiri ya union chini ya Idara ya Wanawake' mahubiri yaliyokuwa yakiendelea ktk mtaa wa Kiribo mji mdogo wa Nyamongo-Tarime."

Address

Tarime

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyangoto SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share