29/04/2026
π₯MFUNGO WA SIKU 40 ZA UPENYO WA MAISHAπ₯
>
```Siku ya Tatu ya Mfungo wa Upenyo wa Maisha
Iwe ni katika ndoa, ajira, biashara, afya au familia, huu ni wakati wa kupata upenyo kupitia maombi na mfungo.```
π Mahali: Ufufuo na Uzima Cathedral-Ubungo Chai Bora
β° Muda : Kuanzia saa 10:00 Jioni
> Ibada Itarushwa Live kila siku kuanzia saa 10:00 jioni kupitia YouTube channel ya Rudisha Tv