Ev. JoyDoroth Ayub

Ev. JoyDoroth Ayub Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ev. JoyDoroth Ayub, Religious Center, Tanga.

UMEWAHI KUWAZA KUMPA MUNGU ZAKA YA MUDA???Kuna msemo unaosema "Time is money" yaani "muda ni pesa/mali"Nimewaza;K**a tun...
27/06/2019

UMEWAHI KUWAZA KUMPA MUNGU ZAKA YA MUDA???

Kuna msemo unaosema
"Time is money" yaani "muda ni pesa/mali"
Nimewaza;
K**a tunapaswa kumpa Mungu sehemu ya kumi ya mali zetu yaani zaka, basi inatupasa kumpa pia zaka ya muda wetu ambao unathamani kubwa sana kwetu.

Asilimia kumi ya muda kwa siku ni sawa na masaa mawili na dakika arobaini tu k**a sijakosea (2hrs:40mins)
Waweza gawanyisha muda huo kwa ratiba yako nzuri tu asbh, mchana, jioni, usiku na muda wowote unaoweza na jumla yake kwa siku unakuwa umempa Mungu sadaka kubwa!

JIULIZE:
* Unatumia muda gani kuomba/kumtafuta Mungu na unatumia muda gani kutafuta watu?

*Unatumia muda gani kusoma neno la Mungu na kutafuta hekima na maarifa yake na unatumia muda gani kusoma mambo ya dunia na kutafuta maarifa yake?

*Unatumia muda gani kuwekeza kwenye ufalme wa Mungu yaani kutumika na unatumia muda gani kuwekeza katika mambo yako binafsi?

K**a anasema ....nijaribuni kwa matoleo muone k**a sitafungua madirisha ya mbinguni......Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na mengine mtazidishiwa....
Basi; Tumpe sadaka ya muda wetu na kuwekeza kwenye Ufalme wa Mungu ambako kuna faida kubwa sana.

Roho Mtakatifu ameachiliwa kwa nguvu ndani yetu ili kutupa uwezesho wa kutenda mapenzi ya Mungu kwa ukamilifu, kutupa ngv ya kuomba, kumtafuta Mungu na kuyafunua maneno ya Mungu kwetu.

TUSIDANGANYIKE, MUNGU HADHIHAKIWI...
Chochote apandacho mtu atavuna!!

Mchana umeendelea na usiku u karibu sana, wekeza/panda kwa Mungu utavuna.
#
#
#
MUDA WA KUWEKEZA KWA MUNGU NI SASA!!

ITS REVIVAL TIME WITH THE HOLY GHOST.
"MAJIRA YA UAMSHO NA ROHO MTAKATIFU"

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev. JoyDoroth Ayub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share