Manyota1Ministry

Manyota1Ministry Professional & Warm
Pastor • Mentor • Speaker
Passionate about building lives through the Word of God
DM for prayers or invitations

Mafundisho,Maombi,Maombezi na Unabii..

MADHABAHU YA ALPHA NA OMEGA Tunakuleta semina kubwa na yenye kugusa maisha ya ndoa yako!Njoo ujifunze siri na funguo muh...
26/05/2026

MADHABAHU YA ALPHA NA OMEGA

Tunakuleta semina kubwa na yenye kugusa maisha ya ndoa yako!
Njoo ujifunze siri na funguo muhimu za kujenga ndoa yenye amani, upendo na ushindi kupitia Neno la Mungu.

Karibu wewe, mwenzi wako, ndugu na marafiki.
Mungu ana neno kwa ajili ya ndoa yako!

Apostle Mabisi Manyota1

Tukutane Jumapili hii Mungu anahaja nawe!!
07/05/2026

Tukutane Jumapili hii Mungu anahaja nawe!!

Usiache kumwambia mwezako,,,usiache kuja na mgonjwa au mwenye uhitaji wa kuhudumiwa na nguvu za Mungu..
23/03/2026

Usiache kumwambia mwezako,,,usiache kuja na mgonjwa au mwenye uhitaji wa kuhudumiwa na nguvu za Mungu..

Mwaka 2026 utakwenda kuwa mwaka wako wa kuvuka viwango vya kiroho na kimwili!!
07/01/2026

Mwaka 2026 utakwenda kuwa mwaka wako wa kuvuka viwango vya kiroho na kimwili!!

05/01/2026

2026 mwaka wa kuzidishwa!!

🔥 Natamka:• Kuzidishwa kiroho• Kuzidishwa kifedha• Kuzidishwa kwa fursa• Kuzidishwa kwa ushuhuda🙏 Baba, ninaipokea 2026 ...
01/01/2026

🔥 Natamka:
• Kuzidishwa kiroho
• Kuzidishwa kifedha
• Kuzidishwa kwa fursa
• Kuzidishwa kwa ushuhuda
🙏 Baba, ninaipokea 2026 k**a mwaka wangu wa kuzidishwa. Kwa jina la Yesu, Amina.

🌟 Usikose mkesha wa Usiku wa Kutoka. Ungana pamoja nasi tukisherehekea pamoja siku hii..📍 Mahali: Kisosora Sokoni 🕗 Muda...
31/12/2025

🌟 Usikose mkesha wa Usiku wa Kutoka.
Ungana pamoja nasi tukisherehekea pamoja siku hii..
📍 Mahali: Kisosora Sokoni
🕗 Muda: Saa 1 usiku

Kuja na roho yako ya furaha – tukutane hapo!

Tunawakumbusha kesho ni MKESHA WA NENO NA MAOMBI – Usiku wa Kutoka! 🔥
30/12/2025

Tunawakumbusha kesho ni MKESHA WA NENO NA MAOMBI – Usiku wa Kutoka! 🔥

Wonderful moment!!
29/12/2025

Wonderful moment!!

01/12/2025

December to remember

Address

Kisosora
Tanga
RELIGIOUSORGANIZATION

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manyota1Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share