TUGLA World Wide Ministry

TUGLA World Wide Ministry We focus on church planting all over the world, the great roll of a church.

07/05/2024

Kwa NEEMA na REHEMA ya Mungu,tunaendelea kufanya kile Mungu anachotutaka tufanye. Tunaendelea kupiga hatua za ukuaji kihuduma na Mungu anaendelea kutupa kushinda vipingamizi mbalimbali. Kwa muda wa k**a miaka miwili sasa ya huduma hapa Tanga,Mungu anaendelea kutufu ngulia mlango wa kupanuka ambapo hivi karibuni tumeanzisha kituo kingine cha huduma Ili kuwafikia watu kwa injili kwa urahisi zaidi. Tupo kwenye mpango wa kujenga hema ktk kituo hicho kipya.
Nikukaribishe ushiriki pamoja nasi ktk utumishi huu kwa namna ambayo Mungu atakuwezesha. Namba zetu ni Halotel 0627293560, Togo 0718887794 naTigo 0678423123.
Ahsante sana na Mungu akubariki.

07/05/2024

The power of victory is the power comes out from within you. Is generated in you by the indwelling Holy Spirit.
Every born again christian, must ensure that he/she is baptized in the Holy Spirit. This is promised for everyone who is born again christian. Holy Spirit is the SOURCE OF THE POWER OF VICTORY.
The WORD OF GOD(BIBLE) teaches how to be baptized in the Holy Spirit. The book of Acts 2:1-4,37--42. Take time to read the bible and prayer. The power of victory will come out from within you and you will experience the outcome and also other people will see it and be benefited from that power.
May God bless you.

12/12/2023

Uwezo wa Mungu huleta uwezo wa mtu kufikia malengo na hatima yake. Haiyamkini mwaka 2023 umekuwa mgumu kwako. Malengo yako na mipango havikuenda k**a ulivyotarajia. USIOGOPE kuweka mipango na malengo kwa mwaka 2024 kwani ni uwezo wa Mungu utupao kufanikiwa.
Usiwe na hofu juu ya mambo yajayo kwani Mungu hakutupa robo ya hofu,bali ya nguvu na ya moyo wa kiasi. Panga na fuatilia huku ukimpa Mungu nafasi ya kwanza maishani mwako ili uweza wake uingilie kati na kuondoa kila kikwazo na kizuizi ktk Jina la Yesu Kristo.
USIOGOPE, USIOGOPE, USIOGOPE!

Building a good future of your children is a goal that every parent must achieve in life. You can do a lot of things in ...
25/08/2023

Building a good future of your children is a goal that every parent must achieve in life. You can do a lot of things in your life time,but the most important thing is a good future of your children.
Is not enough to take your children to a best school, buying them beautiful clothes, giving them whatever they want in daily basis. Building a future of your children is more than that. A good parent must every time have these three questions in mind:
1. Where is my child
2. Who is with him/her.
3. What is he/she doing.
These three questions will make a parent follow every step of his/her children and help them to correct what is going wrong.
My dear parents,do you take time to practice these three questions? These are the guidence for the bright future of your children.

Unaelewaje msemo usemao "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo?"     Ktk huduma yetu,swala la malezi bora ya mtoto ni kipaumbele...
21/08/2023

Unaelewaje msemo usemao "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo?"
Ktk huduma yetu,swala la malezi bora ya mtoto ni kipaumbele kwetu. Ktk kumlea mtoto ktk njia impasayo,ndipo tunapogundua vipawa ambayo Mungu ameweka ndani ya mtoto. Kazi yetu waalimu kwa kushirikiana na mzazi ni kugundua kipawa na kukiendeleza kwa kumfanya mtoto atambue kipawa alichonacho,akipende na awe tayari kufuata maongozi ya sisi waalimu na ya mzazi,na pia kumfanya mzazi atambue kipawa hicho na kumsaidia mtoto Ili afikie hatima yake iliyo bora.
Karibu ktk huduma hii Ili kwa pamoja tujenge watoto walio bora ambao watakuwa ni msingi wa kuwa na jamii bora,Kanisa bora na taifa bora.
Mithali 22:6
"Mlee mtoto ktk njia impasayo,naye hataiacha hata atakapokuwa mzee".

God is so good all the time.   Have you ever experienced the love of God in your personal life? Can you mention the evid...
18/07/2023

God is so good all the time.
Have you ever experienced the love of God in your personal life? Can you mention the evidence in your life that give you a confidence that God really loves you?
Take these two questions and find out the answers. God bless you.

30/05/2023

Serving God is an ultimate goal every born again christian should achieve in life.
Some christian may ask themselves;"how can I serve the Lord Jesus?". The answer is simple like this: Serving the Lord is doing anything that builds His kingdom. Jesus said in John 8:31-32 that if we abide in His word we shall become His desciple. What is the meaning of being a desciple of Jesus? Being a desciple is living and doing what Jesus commanded. What Jesus commanded His desciple? In Mathew 28:18--20 Jesus commanded His desciple to go and make desciples. This is what it means: 'SERViNG THE LORD JESUS."
Every christian can serve the Lord Jesus. You are the one. And if you are not born again, what are you waiting for? Jesus is standing very close to you,He is knocking at the door of your heart. If you open for Him,He will enter and set you free from any bo***ge that satan has bounded you. Your sins shall be forgiven and you will have an assurance of eternal life.
After be born again what follows? "Go and make desciples of Jesus. Your the servant of the Lord Jesus.
God bless you as you take this victorious step. Jesus promissed you in Mark 16:20 that He will be with you confirming His word with signs.

06/01/2023

The year 2023, make it a year of harvesting to the Lord. Make sure you bring someone to Jesus Christ. Tell people what Jesus has done on the cross of calvary. They will be delivered,set free and blessed through only believing in Jesus Christ;His finished work of calvary.

24/11/2022

Unaamini nini kumhusu Yesu Kristo?
--Mambo muhimu ya kuamini kumhusu Yesu Kristo:
1)Ni mwana wa Mungu aliye hai.
2) Alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu wote,alizikwa na siku ya tatu akafufuka,amepaa kwenda mbinguni na siku ya mwisho atakuja kuwachukua waliomwamini na ndiye atakaye hukumu ulimwengu.
3)Kwa kumwamini Yesu Kristo(kuwa ni mwana wa Mungu na kuwa alikufa ,akazikwa na akafufuka na akapaa mbinguni):
---unapata msamaha wa dhambi unapotubu kwa kuamua kuacha.
---anakuweka huru toka ktk vifungo vyote shetani alivyokufunga na toka chini ya mamlaka zote za giza.
----unakuwa mtoto wa Mungu.
-----unakuwa na uhakika wa kuurithi uzima wa milele.
----Roho Mtakatifu anakuja na kukaa ndani yako.
----unakuwa na mamlaka juu ya shetani na majeshi yake.

30/08/2022

Difficulties can be created through perceptions, uttering, confession, feelings and other more ways. What makes more difficulties is continuing in these situations to the extent that it becomes a life style. Life style can make you think that you are right although you are not.
Coming out of these situations needs a strong DECISION to tear down the life style that you have built for the long time now by renewing your mind by believing what God says you are. Only the WORD OF GOD can change your perceptions and other additives which makes you live a wrong life style which enticing you into bo***ges.
Making decision to believe the WORD OF GOD is making decision to live more. Jesus says in John 8:31-32 that,"If you continue in my word,then you are my desciples indeed; and you shall know the truth and that truth shall make you free". To live a free life means to live in Jesus. And to live in Jesus means living a new life style. Living a new life style means you are off-difficulties.
May God bless you as you make this precious decision to believe and trust in the WORD OF GOD.

07/07/2022

Karibu ktk utumishi pamoja nasi. Ni kanisa la Pentecostal Assemblies of God Tanzania tawi la Antiokia,tupo Tanga Kange-Kasera. Tumeanza huduma tangu mwezi November 2021 kwenye hema ya turubai. Tunahitaji sasa tuezeke kwa bati. Mahitaji ni bati 65 za futi 10, mbao 2x4 pc 40 na 2x2 pc 32. Pia na kuweka sakafu mahitaji ni cement mifuko 20,kokoto lory moja na mchanga lory moja.
Karibu tumtumikie Mungu pamoja kwa namna ambavyo Mungu atakuongoza kufanya.
Mawasiliano ni 0627293560, 0718887794 na 0678423123
Email:[email protected]. Ahsante sana na Mungu akutunze.

Address

Tanga Region
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUGLA World Wide Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TUGLA World Wide Ministry:

Share