The City Of God Ministries

The City Of God Ministries Teaching, prophecy, Healing, and Dalivance . 1WAKORTHO 4:4

*THE CITY OF GOD MINISTRIES, TANGA HQ**BWANA YESU  KRISTO AASIFIWE*NINAPENDA KUKUKARIBISHA KWE MKESHA WA MWAKA MPYA; 31 ...
30/12/2025

*THE CITY OF GOD MINISTRIES, TANGA HQ*

*BWANA YESU KRISTO AASIFIWE*

NINAPENDA KUKUKARIBISHA KWE MKESHA WA MWAKA MPYA; 31 DECEMBER 2025

WEWE AMBAYE UMEKUWA MUUMINI WA MASOMO YA NABII ERNEST KANGAJAKA JR. KUPITIA MTANDAONI,KARIBU SANA KWENYE MKESHA.
KWA WALE AMBAO UMENIFUATILIA MUDA MREFU ,UMEBARIKIWA NA MASOMO NA MAOMBI AU MAOMBEZI NA KUNA HATUA MUNGU AMEKUPATIA .

KARIBU UVUKE NA SISI MWAKA HUU WA 2025 KWENDA 2026.

NI NEEMA,NA UPENDELEO, BARAKA.

KARIBU SANA SANA.
TOKA MAPEMA NYUMBANI KWAKO MKESHA UNAANZA SAA 2 :00 USIKU HADI SAA 11 ALFAJIRI.

MAHALI NI HAPA THE CITY OF GOD MINISTRIES TANGA MJINI, KANISA LINAKUTANA CHUMBAGENI MTAA WA TUMAINI KARIBU NA STAND YA MWEMBE MAWAZO.

KWA MAWASILIANO TAFADHALI TUPIGIE SIMU ZIFUATAZO:

+255 677304019
+255 785911212
NABII ERNEST KANGAJAKA JR.

Umebarikiwa Sana, nitafurahi kukuona, Mwalike na Jirani.

Nabii Ernest & Veronica Kangajaka Ministries
Nabii Ernest Kangajaka
The City Of God Ministries

Address

School Street
Tanga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255677304019

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The City Of God Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The City Of God Ministries:

Shortcuts

Share