ELIM Pentecoste Makimbilio Church

ELIM Pentecoste Makimbilio Church Church, spiritual and Social Based

Kwa jina la Yesu Kristo nakutangazia kwamba hakuna kizuizi chochote kitakachoweza kusimama mbele Yako unapojihudhurisha ...
11/12/2023

Kwa jina la Yesu Kristo nakutangazia kwamba hakuna kizuizi chochote kitakachoweza kusimama mbele Yako unapojihudhurisha mbele za Bwana katika Ibada na maombi, siku zote za maisha Yako.

Jumapili hii tunaanza rasmi maombi ya mfungo siku 21. Tunakutana Kila siku saa 10:30 jioni kuomba. Ungana nasi popote ul...
05/12/2023

Jumapili hii tunaanza rasmi maombi ya mfungo siku 21. Tunakutana Kila siku saa 10:30 jioni kuomba. Ungana nasi popote ulipo tumalize mwaka kwa kishindo uweponi mwa Bwana Mungu wetu.

Malaika wa Bwana hufanya kituo kuwazingira wampendao. Umezingirwa na malaika wa Bwana wa majeshi.
01/12/2023

Malaika wa Bwana hufanya kituo kuwazingira wampendao. Umezingirwa na malaika wa Bwana wa majeshi.

Karibu katika Ibada yetu Jumapili hii. Utapokea Neema kuu ya kupenya jangwani. Kuanzia saa 2:30 asubuhi.
01/12/2023

Karibu katika Ibada yetu Jumapili hii. Utapokea Neema kuu ya kupenya jangwani. Kuanzia saa 2:30 asubuhi.

02/07/2017

Karibuni sana katika ibada ya leo jumapili ya tarehe 2/7/2017 hapa kanisani Elim Pentecoste Makimbilio Church mahalI ambapo MUNGU Aliye Hai Anpatikana hapa. Ni ibada ya baraka na kuinuliwa kwa viwango vingine kabisa. Muujiza wako upo mahali hapa, karibu tumwabudu MUNGU Aliye Hai katika ROHO NA KWELI.

25/06/2017

Karibu katika jumapili nyingine ya baraka, jumapili ya kuinuliwa na kupelekwa viwango vingine. Ni katika kanisa la ellim Pentecoste Makimbilio. Karibu tumsifu na kumuabudu MUNGU Aliye hai na Anayetenda miujiza katika maisha yetu kila kukicha.
Ni Ibada nzuri yenye uwepo wa ROHO MTAKATIFU. Karbu upokee muujiza wako.

18/06/2017

Karibu katika ibada ya baraka na kuinuliwa katika kanisa la Elim Pentencoste Mkaimbilio Church. Ni ibada ya ajabu sana mahali hapa ambapo MUNGU ALIYE HAI ANAPATIKANA. Karibu tumsifu, kumwabudu na kumtukuza MUNGU wetu Anyeishi na kutawala. Muujiza wako upo mahali hapa, katika hema la maajabu.

11/06/2017

Ni Neema ya Ajabu ambayo MUNGU WETU Mwenye Nguvu ametukirimia, kukutana mahali hapa Makimbilio Pentecoste Church, mahali pa Neema na Baraka tele. Karibu katika ibada yenye baraka siku hii ya leo.

04/06/2017

karibuni Elim Pentecoste Makimbilio, mahali ambapo MUNGU ALIYE HAI ANAPATIKANA. Muujiza wako upo. Mathayo 11:28. Hapa ndipo mahali pa kupumzishwa, mahali pa faraja na mhali pa kukimbilia. MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA, uwe na jumapili njema

Tunawapenda  wapendwa katika Bwana mnaotufatilia katika page yetu ya facebook na nyingine ambazo zinatangaza na kukuhaba...
13/12/2016

Tunawapenda wapendwa katika Bwana mnaotufatilia katika page yetu ya facebook na nyingine ambazo zinatangaza na kukuhabarisha mambo yanayo tendeka ndani ya kanisa na mikutano inayofanywa na mchungaji FURAHA MARTINE SIMTENDA kwa lengo la kukufundisha na kuinua Imani yako ndani ya KRISTO YESU tunawatakia kila raheri katika maandalizi ya kuumaliza mwaka 2016 na kuanza mwaka 2017 pamoja na YESU

21/11/2016

Address

Tanga
255

Opening Hours

Friday 17:00 - 01:00
Saturday 17:00 - 01:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELIM Pentecoste Makimbilio Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share