Ibnu Abbas Islamic Foundation Center

Ibnu Abbas Islamic Foundation Center Kituo cha kiislamu kinachotoa mafunzo ya kidunia na kiroho, kipo maeneo ya Sahare kata ya Mzingani Tanga Tz.

A,alaykumu ndugu zangu waislamu.Taasisi inawatakia Rajabu njema na inshaallah Allah atuwafikishe Ramadhan.
11/01/2026

A,alaykumu ndugu zangu waislamu.Taasisi inawatakia Rajabu njema na inshaallah Allah atuwafikishe Ramadhan.

07/01/2022

Leo ufunguz maulid nnabii Muhammad(saw)
Gezaulole

23/10/2020

Assalaam Alaykum waumin wa kiislam!
Shekh Muhammad bin Ally Kombora,anawatangazia waislam wote,uwepo wa vitabu vya kujifundisha lugha ya kiarabu,chini ya utunzi wake,karibuni sana.

23/04/2019

A,alaykum.
Ramadhan mubaaraq,
ikhwan fi ddin,
Tujiandae na shahru ramadhan kwa tawba iliyo ya kweli,na si kuianda kimwili,ukawa umeiandaa na machapati,makalimati,mabajia,makababu,masambusa na majuice tu.Lah tunatakiwa tuiandae kiroho zaidi,

01/11/2018

Taasisi inatangaza nafasi za masomo ktk day care center zilizopo sahare na kwanjeka gezaulole

08/06/2017

A,a,w,w.Taasisi ya Ibnu Abbas inawatakia mfungo mwema ktk mwezi huu wa Ramadhani.

02/05/2017

A.alaykum ndugu zangu ktk iman...

Address

Tanga
1835

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibnu Abbas Islamic Foundation Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share