Jccc Tanga

Jccc Tanga ✝️ JCCC | Jerusalem City Christian Center | TAG Church | Beacon of Christ in Tanga City.

⛪️Sun 7-10AM | Wed 4-6:30PM | Fri 4-6:30PM.

Our Vision : Kuwa Kanisa takatifu, linaloandaa watu kwenda mbinguni.

📍Nyuma ya RATCO.... KARIBU SANA

Haijalishi nini unapitia , Mungu hajakusahau . "Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye?... Naam, hawa waweza k...
02/07/2026

Haijalishi nini unapitia , Mungu hajakusahau . "Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye?... Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe."
— Isaya 49:15

2 Wakorinto 6:2   " Ninawaambia kwamba , wakati uliokubalika ni huu sasa na siku ya wokovu ni leo "
01/07/2026

2 Wakorinto 6:2 " Ninawaambia kwamba , wakati uliokubalika ni huu sasa na siku ya wokovu ni leo "

Haijalishi umefanya dhambi gani , ukitubu kwa kumanisha na kuacha njia mbaya UTASAMEHEWA .....
29/06/2026

Haijalishi umefanya dhambi gani , ukitubu kwa kumanisha na kuacha njia mbaya UTASAMEHEWA .....

Bwana Yesu asifiwe , mwambie jirani yako Panda kibasi leo saa 3 usiku Bureeee kituo ni JCCC ...
26/06/2026

Bwana Yesu asifiwe , mwambie jirani yako Panda kibasi leo saa 3 usiku Bureeee kituo ni JCCC ...

Bwana Yesu asifiwe wapendwa , Leo Alhamisi tarehe 25 tutaendelea na maombi Yetu .Tunaenda kuombea malengo yetu ya Mwaka ...
25/06/2026

Bwana Yesu asifiwe wapendwa , Leo Alhamisi tarehe 25 tutaendelea na maombi Yetu .Tunaenda kuombea malengo yetu ya Mwaka (Kukua kwa kanisa , Ujenzi wetu wa Kanisa pamoja na Uinjilisti na Umisheni ) .

Bwana Yesu asifiwe , kesho tutaendelea na Maombi yetu week 2 . Tutaombea Amani , Ulinzi na Utulivu wa  Nchi Yetu
22/06/2026

Bwana Yesu asifiwe , kesho tutaendelea na Maombi yetu week 2 . Tutaombea Amani , Ulinzi na Utulivu wa Nchi Yetu

Bwana Yesu asifiwe , kesho tutaendelea na maombi kuombea kipindi cha pili cha Mwaka ( July - December). Tutaenda kuombe ...
21/06/2026

Bwana Yesu asifiwe , kesho tutaendelea na maombi kuombea kipindi cha pili cha Mwaka ( July - December). Tutaenda kuombe Uchumi na Maendeleo ya Nchi 🙏🏿🙏🏿

Happy Father's Day wababa wote wa JCCC , Mungu azidi kuwalinda , kuwatia Moyo na tuendelee kutunza familia zetu katika m...
21/06/2026

Happy Father's Day wababa wote wa JCCC , Mungu azidi kuwalinda , kuwatia Moyo na tuendelee kutunza familia zetu katika misingi ya Imani Yetu mpaka Yesu atakaporudi .

Leo tunaendelea na maombi Yetu - tutakuwa na maombi ya Msamaha na Toba kwa Kanisa na Nchi , ikawe siku njema kwetu sote ...
20/06/2026

Leo tunaendelea na maombi Yetu - tutakuwa na maombi ya Msamaha na Toba kwa Kanisa na Nchi , ikawe siku njema kwetu sote na tukutane Kanisani Leo jioni kuhitimisha maombi yetu.

Karibu sana na Mungu akubariki ...
19/06/2026

Karibu sana na Mungu akubariki ...

Address

Genuea, Tanga 1120
Tanga
5995

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 18:00
Friday 16:00 - 18:00
Sunday 07:00 - 10:00

Telephone

+255716655354

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jccc Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jccc Tanga:

Shortcuts

Share

Category