MJUE MUNGU

MJUE MUNGU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MJUE MUNGU, Religious organisation, Tanzania Tanga, Muheza, Tanga.

20/06/2020

MUDA WAKO NDIO SAFARI YAKO:

02/06/2020

Yeyote aitazamiae kesho aangalie leo katenda jema gn la kumpendeza Mungu

17/05/2020

Jua kwanini Mungu yko mbali nasi anatuelekeza
YOHANA 14:15-21

17/05/2020

Jua wakati wko wa maisha
MHUBILI 3:1-8

10/05/2020

Msifadhaike mioyoni mwenu mkimuamini Mungu niaminini na mimi maana k**a sivyo niseliwaambia.
YOHANA 14:1-12

06/05/2020

Tuepuke tamaa za ujanani sio utotoni jamani
2Timotheo 2:22
Muhubiri 12:1
1.Wakorintho 14:20

06/05/2020

Binadamu tunamtegemea

02/05/2020

Binadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi hapa duniani.

MHUBIRI 7:1-5Heri sifa njema kuliko marhamu nzuriNa siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.Heri kuiendea nyumba ya matanga...
01/05/2020

MHUBIRI 7:1-5
Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri
Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
Heri kuiendea nyumba ya matanga,
Kuliko kuiendea nyumba ya karamu.Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote,naye alie hai atautia moyoni mwake
Huzuni ni afadhali kuliko kicheko
Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.

Heri kusikia laumu ya wenye hekima,
Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu.

29/04/2020

Yakobo 1:26-27
Mtu akidhani anayo dini wala hauzui ulimi wake kwa hatamu,hali akijidanganya moyo wake,dini yake mtu huyo haifai.
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

Address

Tanzania Tanga, Muheza
Tanga
[email protected]

Telephone

+255620893181

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MJUE MUNGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to MJUE MUNGU:

Share