St. Anthony's Cathedral Tanga

St. Anthony's Cathedral Tanga Karibu kufuatilia Matangazo yetu.

HABARI PICHA KANISA KUU.Matukio mbalimbali katika PICHA wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Familia Takatifu kutoka ...
29/12/2025

HABARI PICHA KANISA KUU.
Matukio mbalimbali katika PICHA wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Familia Takatifu kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua Chumbageni.
Katika Misa hiyo kulikuwa na matukio yafuatayo:-

Utoaji wa Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 60
Kufunga Jubilei Kuu 2025 kwa ngazi ya Jimbo
Ufunguzi na kubariki Jengo la Groto la Mama Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu Baba mlishi wa Yesu

Sadaka ya Misa Takatifu imeongozwa na Mhashamu Thomas John Kiangio Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga.

Address

84
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Anthony's Cathedral Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St. Anthony's Cathedral Tanga:

Shortcuts

Share