Efatha Church Muheza

Efatha Church Muheza Healing and deliverance

11/12/2020

Karibu katika ibada ya kuabudu na kusifu inayo fanyika leo saa 4:00 usiku kanisa EFATHA lipo maeneo ya mbezi na ibada ya ukombozi itakwepo lete wavonjwa wataponywa na MUNGU tunaye mtumikia karibu Sana nawapenda.

Karibuni wote si yakukosa
07/09/2020

Karibuni wote si yakukosa

Nataka kuona uso wako nataka kukumbatiwa nawe njoo MFALME WA UTUKUFU njooo muheza tunakuhitaji kila itwapo leo
24/07/2020

Nataka kuona uso wako nataka kukumbatiwa nawe njoo MFALME WA UTUKUFU njooo muheza tunakuhitaji kila itwapo leo

COME KING OF GLORY 🙏🙏🙏
17/07/2020

COME KING OF GLORY 🙏🙏🙏

Ukitaka kuona nguvu ya MUNGU katika mafanikio yako JISHUSHE sana
14/07/2020

Ukitaka kuona nguvu ya MUNGU katika mafanikio yako JISHUSHE sana

NI USHINDI NYUMBANI MWA BWANA
09/07/2020

NI USHINDI NYUMBANI MWA BWANA

ROHO MTAKATIFUNi msaidizi tuliye achiwa na BWANA YESU atuongoze katika maisha ya hapa duniani katika nyakati hizi za mwa...
09/07/2020

ROHO MTAKATIFU
Ni msaidizi tuliye achiwa na BWANA YESU atuongoze katika maisha ya hapa duniani katika nyakati hizi za mwanzo wa ufalme wa mungu na mwisho wa dunia jitahidi usi muuzi wala usi muhuzunishe.

ROHO ZINAZO CHELEWESHA SAFARI YA MTAKATIFU1. Kutamani mabaya  1wakorintho 10:1 2. Ibada ya sanamu3.Uasherati4.Kumjaribu ...
21/06/2020

ROHO ZINAZO CHELEWESHA SAFARI YA MTAKATIFU
1. Kutamani mabaya 1wakorintho 10:1

2. Ibada ya sanamu
3.Uasherati
4.Kumjaribu BWANA
5.Roho ya manung'uniko

JINSI YA KUSHINDA
1.Tamani kutenda mema mathayo 12:35-36
2.kumcha MUNGU kumb 8:14
3.usimhuzunishe ROHO MTAKATIFU warumi 8:14
4.kuutunza mwili wangu 1wakorintho 6:19
5.usimjaribu BWANA luka 4:12
6.mkumbuke MUNGU kumb 8:18
7.kuacha kunung'unika wafilipi 2:14-15

AMEN
19/06/2020

AMEN

14/06/2020

ISHI MAISHA YA MTAKATIFU ILI UMUONE MUNGU

Jifunze kujikubali jinsi ulivyo ndivyo mungu alitaka uwe ivo usipende kumpa ibilisi credit kwa kujibadilisha be blessed.
01/06/2020

Jifunze kujikubali jinsi ulivyo ndivyo mungu alitaka uwe ivo usipende kumpa ibilisi credit kwa kujibadilisha be blessed.

29/05/2020

Hakuna analo shindwa, ndiyo mana tunamkimbilia yeye ni ngome yetu mahali pa kujificha kwetu ni YESU

Address

Muheza
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Muheza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Muheza:

Share