Yesu ni mwokozi

Yesu ni mwokozi Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Come unto me, all ye that labour and are heavy laden, and I will give you rest.

31/12/2025
19/01/2023

Isaya 1:17
Jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.

05/01/2023

“Geuka ndg mshahara wa dhambi ni mauti 2023 kataa kuwa mtumwa wa dhambi mtangaze Mungu kwenye kila ufanyalo 2023 ni mwaka wako wa kufanikiwa sana k**a utazingatia haya”

28/12/2022

“Wote wanao kudhalau na kusema mabaya juu yako wala usiwachukie wewe wape muda tu watashangaa jinsi Mungu atakavyo kuinua na kukubariki katika njia zako zote.”

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yesu ni mwokozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Yesu ni mwokozi:

Share