Junior Wise Prophet -Boanerge

Junior Wise Prophet -Boanerge “Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma

26/05/2025

JE WEWE ULIWAHI OTA HIVI NA HUKUJUA MAANA YAKE? BASI NDOTO HIO MAANA YAKE NI HII.

07/01/2025

USIMKATIE TAMAA MUNGU KWAMAANA NJIA ZAKE ZA KUMUINUA MTU SIK**A NJIA ZETU.

28/12/2024

SHALOM , LEO JIONI SAA 12  NITAKUA HAPA LIVE KUONGELEA JUU YA MAMBO AMBAYO YAMETOKEA ILA NIISHARA YA JAMBO KUBWA..
11/02/2023

SHALOM , LEO JIONI SAA 12 NITAKUA HAPA LIVE KUONGELEA JUU YA MAMBO AMBAYO YAMETOKEA ILA NIISHARA YA JAMBO KUBWA..

14/01/2023

🙏

18/12/2022

🔑KUMCHUKUA YESU K**A ALIVYO HAIMAANISHI KUTWA MKRISTO NOO BALI NIKUFATA DESTURI YAANI TARATIBU ZA MATENDO YAKE ,HII NDIO INAITWA KUMCHUKUA YESU K**A ALIVYO , USIKAE KWENYE KUNDI LA WAKRISTO FAKE ,BALI KAA KWA WALIO HALISI WANAO ABUDU KATIKA ROHO NA KWELI YAANI ROHONI NA MATENDO YAO YANAMWADHIMISHA BWANA.

KARIBU KUFOLLOW NA KULIKE UKURASA HUU KWAKUJIFUNZA NA KUJENGEKA KIROHO🙏

Whatsap0672290471 ,Au Piga 0687857899 KWA MAOMBI NA KUOKOKA , NA YESU ALIE HAI ATAKUTEMBELEA.

“Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkos...
12/12/2022

“Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana.”
— Isaya 54:17..

23/11/2022

⭐KILA MWANADAMU HAJAWEKWA KATIKA UKAMILIFU WA VYOTE, NA KUTOKUA UKAMILIFU WA VYOTE HAIMAANISHI KUA HUTAWEZA KUFANYA KITU KIKUBWA ,HAPANA, TUMIA AU FANYA KILE AMBACHO UNAKIMUDU ZAIDI ILI KIKUTAMBULISHE KUA WEWE NINANI KATIKA DUNIA.

KWA USHAURI NA MAOMBI PIGA SIMU 0687857899 AU WHTSAP 0672290471 ,YESU ATAKUSAIDIA KABISA.

Address

Tanga Mjini
Tanga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255672290471

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Junior Wise Prophet -Boanerge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share