PEFA Church Tanga.

PEFA Church Tanga. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PEFA Church Tanga., Pentecostal Church, Mwakidila B, Tanga.

To reach real peace in the world, we will have to begin with the children.
11/10/2022

To reach real peace in the world, we will have to begin with the children.

Mungu akubariki kwa kuja kuabudu pamoja nasišŸ™
09/10/2022

Mungu akubariki kwa kuja kuabudu pamoja nasišŸ™

Hallelujah Tunawakaribisha wote kwenye Thanks Giving Friday jioni ya leo, kuanzia saa 7:30pm hadi 9:30 pm. Hapa kanisani...
26/08/2022

Hallelujah Tunawakaribisha wote kwenye Thanks Giving Friday jioni ya leo, kuanzia saa 7:30pm hadi 9:30 pm. Hapa kanisani . Mungu wa Mbinguni na akubariki sana.

Kwa maana mnajua ya kuwa sisi tunamtendea kila mmoja wenu k**a vile baba anavyowatendea watoto wake mwenyewe, tukiwatia ...
24/08/2022

Kwa maana mnajua ya kuwa sisi tunamtendea kila mmoja wenu k**a vile baba anavyowatendea watoto wake mwenyewe, tukiwatia moyo, na kuwafariji, na kuwaonya mwenende maisha yanayomstahili Mungu, anayewaita ninyi kuingia katika ufalme wake na utukufu wake.
Wathesalonike wa 1, 2:11-12

Tunakukaribisha, Ungana nasi tumwabudu Mungu pamoja siku ya leo. Tutafurahi kujumuika na wewe. Mungu akubariki
21/08/2022

Tunakukaribisha, Ungana nasi tumwabudu Mungu pamoja siku ya leo. Tutafurahi kujumuika na wewe. Mungu akubariki

Leo kwenye Bible study, tunaendelea na mafundisho juu ya Uumbaji wa Mungu na tupo katika kitabu cha Mwanzo 5. Tunakukari...
17/08/2022

Leo kwenye Bible study, tunaendelea na mafundisho juu ya Uumbaji wa Mungu na tupo katika kitabu cha Mwanzo 5. Tunakukaribisha kanisani leo kuanzia 4:30pm -6:00pm tujifunze pamoja. Mungu akubariki sana.

Leo ni siku njema ambayo bwana ameifanya. Ni furaha yetu kukukaribisha katika ibada ya jumapili hapa kanisani  . Tutafur...
14/08/2022

Leo ni siku njema ambayo bwana ameifanya. Ni furaha yetu kukukaribisha katika ibada ya jumapili hapa kanisani . Tutafurahi kumwabudu Mungu pamoja na wewe. Mungu akubariki na tunakukaribisha sana

Karibu Tuombe pamoja. Mungu akubariki sanašŸ¤
12/08/2022

Karibu Tuombe pamoja. Mungu akubariki sanašŸ¤

Tunakukaribisha Kanisani   tumwabudu Mungu pamoja. Tutafurahi kuwa na wewe leo. Mungu akubariki sanašŸ¤
07/08/2022

Tunakukaribisha Kanisani tumwabudu Mungu pamoja. Tutafurahi kuwa na wewe leo. Mungu akubariki sanašŸ¤

Karibu Tuombe pamoja. Mungu akubariki
05/08/2022

Karibu Tuombe pamoja. Mungu akubariki

we can’t wait to worship God with you today.
31/07/2022

we can’t wait to worship God with you today.

Yes, Tonight from 7:30pm - 9:30pm    Cc:
29/07/2022

Yes, Tonight from 7:30pm - 9:30pm


Cc:

Address

Mwakidila B
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PEFA Church Tanga. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share