Pst.Erasto Nyamahanga

Pst.Erasto Nyamahanga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pst.Erasto Nyamahanga, Religious organisation, Kigombe, Tanga.

PAMOJA NA BWANA TUTATENDA MAKUU
02/03/2022

PAMOJA NA BWANA TUTATENDA MAKUU

12/01/2022
31/12/2021

*NITAYAFANYA MAISHA YAKO KUWA YA AMANI SIKU ZOTE*

_SABABU _
*1.Moyo wako umekuwa mwororo *(Msikivu)
*2.Una Moyo wa Unyenyekevu *(Kujishusha mbele za Bwana, hali ya kuonyesha unamtegemea Bwana nk.)
*3.Una Moyo wa Maombi* (Kuzilarua nguo)

_AHADI YA MUNGU_
1.Nitayafanya Maisha yako yawe ya Amani, furaha, Ushindi mpaka kufa kwako.
2.Hutaona vita, mapigano, maafa katika siku zako.

*2 Wafalme : 22 : 18 - 20*
- Lakini yule mfalme wa Yuda, aliyewatuma ninyi kumwuliza Bwana, mtamwambia hivi, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa habari ya maneno yale uliyoyasikia,

19 - kwa kuwa moyo wako ulikuwa mwororo, nawe ukajinyenyekesha mbele za Bwana, hapo ulipoyasikia maneno niliyoyanena juu ya mahali hapa, na juu ya wenyeji wake, ya kwamba watakuwa ukiwa na laana, nawe ulizirarua nguo zako, ukalia mbele zangu; basi, mimi nami nimekusikia wewe, asema Bwana.

20 - Kwa hiyo tazama, nitakukusanya pamoja na baba zako, nawe utawekwa kaburini mwako kwa amani; wala macho yako hayatauona uovu huo wote nitakaouleta juu ya mahali hapa. Basi wakamletea mfalme habari tena.

01/12/2021

Kila mwenye kiu ndani ya miaka hii 13 ya Moto wa Uamsho atamuona Bwana,kwa umoja wetu tunamtaka Bwana na Nguvu zake.

Address

Kigombe
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pst.Erasto Nyamahanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pst.Erasto Nyamahanga:

Share