07/06/2026
Dear friends, let us read together in Colossians 2:23 "Which things have indeed a show of wisdom in will-worship, and humility, and neglecting of the body; not in any honor to the satisfying of the flesh."
In this verse, Paul, an Apostle of Jesus Christ is reminding us that many things that appear to be wise to the flesh of man are not necessarily wise in God's sight. There will be no time our flesh will be satisfied. We will keep demanding.
It is good to crucify our flesh for eternity instead of refreshing it for the hell.
May God bless you! ......................................................
Wapendwa marafiki zangu, tusome pamoja Wakolosai 2:23 "Masharti yenyewe yanaonekana kuwa ni ya hekima, maana yana jiwekea namna zake za ibada, unyenyekevu bandia na kuuadhibu mwili. Lakini hayana uwezo wo wote kuzuia tamaa za mwili".
Katika mstari huu, Paulo, Mtume wa Yesu Kristo anatukumbusha kuwa mambo mengi yanayoonekana kuwa ya hekima kwa mwili wa mwanadamu siyo ya muhimu mbele za uso wa Mungu. Hakuna nyakati miili yetu itatosheka. Tutaendelea kuhitaji.
Ni vyema kuisulubisha miili yetu kwa ajili ya umilele badala ya kuistarehesha kwa ajili ya jehanamu.
Mungu akubariki sana!