TAYO Tabata

TAYO Tabata Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TAYO Tabata, Religious organisation, Tabata.

TAYO stands for Tanzania Anglican Youth Organization: Kundi la umoja wa vijana Tanzania lenye nia ya kuimarisha upemdo, utumishi katika kanisa na mshik**ano wa vijana ndani ya Dayosisi zote Tanzania na madhehebu mengine,

Semina ya vijana iliyofanyika tarehe 15 na 16 Agost 2014 hapakanisani kwetu Tabata. Mada tatu k**a kawaida zikiwepo mada...
25/08/2014

Semina ya vijana iliyofanyika tarehe 15 na 16 Agost 2014 hapakanisani kwetu Tabata. Mada tatu k**a kawaida zikiwepo mada ya mahusiano, kijana kujitambua pamoja na masuala ya katiba. k**a ulikosa basi ulikosa kweli kweli

Marehemu mama Nchimbi akiwa na kwaya ya UMAKI wakati ya sikukuu ya PASAKA mwaka jana.
07/03/2013

Marehemu mama Nchimbi akiwa na kwaya ya UMAKI wakati ya sikukuu ya PASAKA mwaka jana.

07/03/2013

+++++++++ TANZIA TANZIA TANZIA TANZIA +++++++++++++
NASKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA, MAMA NCHIMBI, ALIYEFARIKI DUNIA SIKU YA JUMANNE TAREHE 05.02.2013, MAMA YETU KAPATWA NA MAUTI AKIWA KANISANI WAKIIMBA KWAYA NA WAMAMA WENGINE WA UMAKI. TUZIDI KUMWOMBEA MAMA YETU KATIKA SAFARI YAKE. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.AMINA

11/10/2012

TAYO inapenda kumpongeza saana mwekiti wa TAYO msaidizi na KATIBU wa kanisa ndugu BERNARD MHECHA kwa kufunga ndoa siku ya jumamos ya tar 6/10/2012. TAYO inamtakia maisha mema na yenye furaha ya ndo. Picha za harusi zitafuata.

SIKU YA TAYO DAY NA TAMASHA LA UIMBAJI
12/09/2012

SIKU YA TAYO DAY NA TAMASHA LA UIMBAJI

+++++++++ WOTE MNAKARIBISHWA ++++++++++++++++++++JE WEWE UNAPENDA NYIMBO ZA DINI? BASI SIKU HII NI SIKU YAKO,MWAMBIE NA ...
23/08/2012

+++++++++ WOTE MNAKARIBISHWA ++++++++++++++++++++

JE WEWE UNAPENDA NYIMBO ZA DINI? BASI SIKU HII NI SIKU YAKO,MWAMBIE NA JIRANI YAKO.
KARIBUNI SAANA

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Hatimaye kwaya ya UMAKI imerecord CD yao, na leo tumeskia baadhi ya nyimbo hizo, kwa kweli nyimbo ni nzuri saana na zina...
08/07/2012

Hatimaye kwaya ya UMAKI imerecord CD yao, na leo tumeskia baadhi ya nyimbo hizo, kwa kweli nyimbo ni nzuri saana na zinabamba, tunazisubiri CD hizo kwa hamu saana! Mbarikiwe saana Umaki

08/07/2012

Kwa wale wote ambao watahitaji kuto rambi rambi ya marehemu mama Soseleji, tafadhali muwaone viongozi wa TAYO: m/kiti Medard Patrick na Bernard, Katibu Veronica Chiyombo na Mbata; Wahazini Emanuel na da Lilian. Tunataka Mchungaji Soseleji akirudi tu tukamwone na kumkabidhi rambi rambi yetu.

07/07/2012

++++++++ TANZIA ++++++++++++

Aliyekuwa Mke wa Padre Soseleji, amefariki dunia siku ya alhamisi na ameagwa leo katika kanisa la Nikolao Ilala then kusafirisha masasi Mtwara kwa ajili ya mazishi. Kwa niaba ya TAYO tabata tunatoa pole kwa wafiwa wote MUNGU awape roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu mama Soseleji tutamkumbuka daima. Bwana alitoa na Bwana ametwa, jina la Bwana lihimidiwe.

12/06/2012

Vijana wa TAYO hamjambo, je una maoni yoyote au mawazo juu ya TAYO, tunakaribisha maoni yako, tuandikie katika wall yetu au kwa email yetu [email protected], tutakujibu na kuyafanyia kazi. Asante

Semina ilikua ni ya aina ya kipekee kabisa, ni semina ilikua ni ya kusisimua sana na ya kujenga kwani kila mtu aliifurah...
09/04/2012

Semina ilikua ni ya aina ya kipekee kabisa, ni semina ilikua ni ya kusisimua sana na ya kujenga kwani kila mtu aliifurahia hasa mada zote zilizo andaliwa ziliweza kuwagusa washiriki wote wa semina hii. Pia watoa mada wetu Father Emmaus Mwamakula na Mwinjilist Damiani, kwa kweli ni watu wenye uwezo wa hali ya juu sana wametufundisha na wote waliohudhuria wameelewa na kutaka semina ingekua hadi kesho. Hizi ni baadhi ya picha na video ya semina ya leo. Tunashukuru sana uongozi wa TAYO TABATA kwa kuaanda semina hii.

08/04/2012

Vijana wote mnakaribishwa aktika semina yetu itakayo fanyika leo badae kuanzia sa 9:00 asubuhi. Mhubiri 9:11. Maada kuu katika semina yetu ni.
1. Nafasi ya Mkristo ktk KATIBA ya Nchi: Mwinjilist Damian
2. Nafasi ya kijana ktk Kanisa: Fr. Mwampula
3. Uwakili/Utoaji: Fr. Mwamapula
4. Mahusiano: Fr. Lameck
Wito kwa vijanawote, unaombwa saana uhudhuria ili uweze kupata maada zote nne. Breakfast plus lunch vitapatikana pale kanisani. Bwana akutie nguvu sana.

Address

Tabata

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAYO Tabata posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAYO Tabata:

Share