Mapito ya watakao kombolewa

Mapito ya watakao kombolewa Hapa utajifunza neno la MUNGU na kuelewa yatupayo kufanya ili tuwe kumuona muumba ajapo

28/05/2021
28/04/2021
Kipimo cha maisha yako MUNGU atakuja kukulipa kutokana na mwendo wako wa maisha na vile unavyo ishi kwa kutii maagizo ya...
23/03/2021

Kipimo cha maisha yako MUNGU atakuja kukulipa kutokana na mwendo wako wa maisha na vile unavyo ishi kwa kutii maagizo yake na vile unavyoishi katika jamii yako MCHENI MUNGU NA KUMTUKUZA MAANA SIKU YA HUKUMU YAKE IMEKUJA MSUJUDIENI YEYE ALIE ZIFANYA MBINGU NA NCHI NA BAHALI NA CHEMICHEMI YA MAJI . TUMUHOFU MUNGU TUISHIVEMA KATIKA JAMII

21/03/2021

Ujumbe muhimu kwa ajili ya maisha yako

23/02/2021

Tazama ujumbe wenye lengo la kukupatia uzima wa milele

19/02/2021

Mtoto mwenye hekima umfurahisha babae bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye

19/02/2021

Address

Mbezi
Tabata

Telephone

+255783319542

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapito ya watakao kombolewa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share