Efatha Church - Ruvuma

Efatha Church - Ruvuma Welcome to our social media EFATHA CHURCH RUVUMA
www.tiktok.com/ Efatha Ministry -Ruvuma, its a branch of the Efatha Ministry.

04/09/2026

IKIWA UNALIELEWA NENO UNA UWEZO WA KUELEWA AKILI YA MTU

kuwa sehemu ya kuwafikia wengine pia. 🙏

🤍 FOLLOW — tuende pamoja
👍 LIKE — k**a umebarikiwa
💬 COMMENT — tushirikishane
📲 SHARE — Injili iwafikie wengine


IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI | 04/09/2026 |EFATHA CHURCH RUVUMAMATUKIO KATIKA PICHA:MAOMBI KWAHAJIRI YA KUSANYIKO
04/09/2026

IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI | 04/09/2026 |EFATHA CHURCH RUVUMA
MATUKIO KATIKA PICHA:
MAOMBI KWAHAJIRI YA KUSANYIKO

IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI | 04/09/2026 |EFATHA CHURCH RUVUMASOMO:MSALABA NI NGUVU YA WOKOVU-Unaposikia hatia lazima ...
04/09/2026

IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI | 04/09/2026 |EFATHA CHURCH RUVUMA
SOMO:MSALABA NI NGUVU YA WOKOVU

-Unaposikia hatia lazima uenda Msalabani utakuondolea hatia
​-Unapoelewa Msalaba unaelewa wokovu.
-Utukufu ni kukaa mbali na hali ya dhambi ukikaa mbali na dhambi utawona utukufu
​-Utapata Ushirika pale unavyo uelewa Msalaba
​-Mwanadamu akatembee akamiliki akazae na kuongezeka ukiwa na nguvu ya Msalaba ukiendelea Msalaba uwepo wa dhambi Unakaa mbali na wewe
​-Dhambi ina tabia ya kukata mbaraka shetani hawezi kukubariki maana hana Ubaba ndani yake mwenye kubariki ni mtu mwenye Ubaba
​-Dhambi inawondoa mpaka wa imani yako
​Unaweza umebarikiwa lakini ndani unahukumiwa na dhambi kaa mbali na Uwepo wa dhambi

-BONIPHACE MICHAEL
KIONGOZI EFATHA RUVUMA

04/09/2026

🔴LIVE | IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI |EFATHA SONGEA -10th APRIL2026

04/09/2026

JE, UMEJIANDAA?

Mambo yanaenda kubadilika.
Maisha yanaenda kuguswa.
Mioyo inaenda kufanywa upya. KUSANYIKO LA UKOMBOZI linakaribia! 🔥🙌

📢 MWAMBIE MTU MMOJA:
“Usikose hii!” 👇

💬 Comment " NITAKUWEPO"
❤️ Like | 🔄 Share | 📲 Tag mtu unayetaka apokee uponyaji wake.




03/09/2026

Katika bonde la kukata maneno, mapenzi ya Mungu yatatimizwa.
Usikose kushuhudia utimilifu wa neno hili la Mtume Noel Kapinga juu ya maisha yako.
📍 Precious Centre, Kibaha
Tarehe 5–11 Oktoba 2026
Usikose kusanyiko hili, njoo na ndugu, jamaa na rafiki zako, na uwe sehemu ya kile Mungu anachokwenda kufanya kwenye maisha yako.
🔥 Precious Centre Kibaha — Mapenzi ya Mungu yatatimizwa


02/09/2026

KUSANYIKO LA MWAKA HUU NI LA TOFAUTI KABISA!
Kusanyiko la mwaka huu ni la kipekee, kwa sababu litahusika na ukombozi katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu:
Ukombozi katika ndoa zetu
Ukombozi katika biashara zetu
Ukombozi katika vipato vyetu
Ukombozi katika ibada zetu
Ukombozi katika familia zetu na kizazi chetu
Na zaidi, ukombozi wa ndugu na jamaa zetu ambao bado hawajaingia na kusikia habari ya umilele.
Hili si kusanyiko la kawaida. Ni wakati wa Mungu kuleta ukombozi na kurejesha kile kilichopotea.
Usikose Kusanyiko la Mwaka 2026! Mwalike ndugu, rafiki na jamaa yako.
Mapenzi ya Mungu, Ukombozi Wangu!




IBADA YA ZONE (KITAI MAGEREZA) 1/09/2026MATUKIO KATIKA PICHA: Yakobo 5:14“Je, mtu wa kwenu anaugua? Na awaite wazee wa k...
01/09/2026

IBADA YA ZONE (KITAI MAGEREZA) 1/09/2026
MATUKIO KATIKA PICHA:

Yakobo 5:14
“Je, mtu wa kwenu anaugua? Na awaite wazee wa kanisa; nao waombe juu yake, wakimpaka mafuta kwa jina la Bwana.”

IBADA YA ZONE (KITAI MAGEREZA) 1/09/2026Mathayo 7:7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafun...
01/09/2026

IBADA YA ZONE (KITAI MAGEREZA) 1/09/2026

Mathayo 7:7
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa.”

Kuna nyakati unaomba lakini huoni jibu. Unalia kimya, unasubiri, na wakati mwingine unaanza kujiuliza k**a Mungu bado anakusikia.

Lakini kumbuka… Mungu hajawahi kupuuza maombi ya moyo unaomtegemea.

Huenda jibu halijaja kwa wakati unaoutaka, lakini Mungu anajua wakati sahihi, njia sahihi na kile kilicho bora kwako.

Endelea kuomba. Endelea kuamini. Endelea kumtumaini Mungu.
Maombi yako hayapotei.

-BONIPHACE MICHAEL
KIONGOZI WA EFATHA RUVUMA

TAREHE 1/09/2026 MCHUNGAJI KIONGOZI WA EFATHA RUVUMA -(BONIPHACE MICHAEL) ALI TEMBELEA ZONI YA KITAI GEREZANI NA KUTOA E...
01/09/2026

TAREHE 1/09/2026 MCHUNGAJI KIONGOZI WA EFATHA RUVUMA -(BONIPHACE MICHAEL) ALI TEMBELEA ZONI YA KITAI GEREZANI NA KUTOA ELIMU KWA HABARI NJEMA YA UFALME WA MUNGU

Address

Mkuzo
Songea
BOX805

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church - Ruvuma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church - Ruvuma:

Shortcuts

Share