Jesus Healing Center - Ragt Songea

Jesus Healing Center - Ragt Songea Tunapatikana katikati kabisa ya mji wa songea, maeneo ya banki ya NMB, mkabala na hosipitali ya mkoa wa Ruvuma. Karibu uabudu pamoja nasi,

KARIBU KATIKA KONGAMANO
02/10/2024

KARIBU KATIKA KONGAMANO

02/10/2024
Ibada ya leo ni ya kipekee ni ya Meza ya Bwana pamoja na kubariki watoto
07/04/2024

Ibada ya leo ni ya kipekee ni ya Meza ya Bwana pamoja na kubariki watoto

Baada ya huduma waliobatizwa wakapongezwa kwa keki
07/04/2024

Baada ya huduma waliobatizwa wakapongezwa kwa keki

Huduma ya ubatizo katika kanisa la RAGT Songea mjini
07/04/2024

Huduma ya ubatizo katika kanisa la RAGT Songea mjini

Karibu sana na Yesu mtendamiujiza akubariki...
29/03/2024

Karibu sana na Yesu mtendamiujiza akubariki...

2 Wathesalonike 3:10  Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya...
14/03/2024

2 Wathesalonike 3:10
Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

Isaya 41:7  Seremala akamtia moyo mfua dhahabu, na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe, akiisifu k...
14/03/2024

Isaya 41:7
Seremala akamtia moyo mfua dhahabu, na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe, akiisifu kazi ya kuunga, akisema, Ni kazi njema; naye akaikaza kwa misumari isitikisike.

2024 Ni Mwaka wako wa kuongozwa na Roho wa Mungu,na ikawe Baraka na Mafanikio katika Maisha Yako!!
14/03/2024

2024 Ni Mwaka wako wa kuongozwa na Roho wa Mungu,na ikawe Baraka na Mafanikio katika Maisha Yako!!

Kaa tayali kwa Mafundisho
22/03/2022

Kaa tayali kwa Mafundisho

Address

P. O. Box Songea
Songea
1056

Telephone

0755644437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Healing Center - Ragt Songea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share