Upendo Choir St. Nicholous Songea

Upendo Choir St. Nicholous Songea We dealing to bring all people to living Jesus

13/04/2021

Wakristo inatakiwa kuombea sana makanisa yetu na watawala,maana hatari iliyoko ni kubwa kuliko tuitazamavyo sasa. Maana Mungu anatakiwa ahusike kwa 100% kabisa lisonge mbele. Usione kwako kumetulia ukadhani uko salama ujue wakati wako wa kujiliwa bado haujafika. Omba

TUMAINI LA MWENYE HAKI SIKU ZOTE HULETWA NA NENO LINALOMJENGA KATIKA KUMJUA MUNGU. NA HAKUNA RAHA NA KITU KIZURI KATIKA ...
06/01/2021

TUMAINI LA MWENYE HAKI SIKU ZOTE HULETWA NA NENO LINALOMJENGA KATIKA KUMJUA MUNGU. NA HAKUNA RAHA NA KITU KIZURI KATIKA KUMJUA MUNGU.

30/12/2020
20/12/2020

JUMAPILI YA LEO TUMEPATA BARAKA SANA KATIKA IBADA ILIYOFANYIKA ST. NICHOLOUS SONGEA NA TUMEONA REHEMA NA BARAKA ZIKIMIMINIKA KWETU

08/10/2020

HATARI HUJULIKANA K**A HATARI PALE UNAPOONA UMEDHURIKA AU WAMEDHURIKA WATU

Upendo Choir St. Nicholous wakiwa katika matukio mbali mbali ya picha za pamoja
02/10/2020

Upendo Choir St. Nicholous wakiwa katika matukio mbali mbali ya picha za pamoja

26/09/2020

MUNGU AKIKUINUA ANAKUSUDI NA WEWE NA UKIKAA KWENYE KUSUDI ANAKUONESHA PA KUPITA NA HATA MOYO WAKO HAUTOKUMBUKA YALIYOPITA

20/09/2020

Mungu mwema Jumapili nyingine hii tutakiane jpili njema

24/07/2020

MUNGU AWATUNZE WAPENDWA WOTE KARIBUNI ST. NICHOLOUS ANGLICAN CHURCH SONGEA

29/06/2020

UPENDO CHOIR

Address

Songea Street Nicholous Anglican
Songea

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255767521876

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Choir St. Nicholous Songea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share