Madaba Lutheran Church

Madaba Lutheran Church Madaba Lutheran Church is a centre of Madaba District composed by three parishes which are Madaba, Mavanga and Lilondo.

The church is under Evangelical Lutheran Church of Tanzania, Ruvuma Diocese.

16/09/2023
06/06/2022
29/03/2022

15 Nanyi k**a mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Yoshua 24:15

14/02/2020

2 Wakoritho 9:7
Kila mtu na atende k**a alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

30/01/2020

Mungu akipanga jambo hashindwi kulifanya. Kila jambo linalopangwa tumwanbie Mungu. Mkabidhi Bwana kazi zako, na mawazo yako yatathibitika. (Mith. 16:3).

13/01/2020

Asifiwe Bwana wa Mabwana kwakutuwezesha kufikia hatua hii ya ujenzi. Tunawashukuru wote waliochangia na wanaoendelea kuchangia ujenzi huu. Kazi ya Mungu inasonga mbele

11/01/2020

Ujenzi wa kanisa letu unaendelea na Leo tupo hatua hii. Mbarikiwe mnaochangia ujenzi huu

06/01/2020

Hadi sasa tupo hatua hii, lakini bado tunaendelea. Mungu anatukuzwa kwa kazi hii.

22/11/2019

Louez le Seigneur!

En images, vous voyez l’église incomplète de Madaba Lutheran, à Ruvuma en Tanzanie, mais nous sommes forts pour continuer à travailler jusqu’à la scène que vous voyez. Notre force est connectée avec vous. Sil vous plaît, faites quelque chose pour nous aider afin que votre nom apparaisse parmi nous. Nous accueillons des groupes de personnes, des institutions, des entreprises et des particuliers. Si vous avez besoin de détails sur le bâtiment, nhésitez pas.

Numéro de mobile: 0752246715 Numéro de compte: 63410002849 Nom: KKKT - USHARIKA WA MADABA

Banque: NMB

Rév. Faraja Kisoso LEADER DE LA PAROISSE.

22/11/2019

Praise the Lord!
In pictures you see is the incomplete church building, but we are strong to continue working up to the stage you see. Our strength is connected with you.
Please do something to help us so that your name will appear among us. We welcome groups of people, institutions, companies and individuals.
If you will need details of the building do not hesitate.

Pastor Faraja Kisoso
Pastor incharge.

20/11/2019

Tunafanya jitihada kuezeka kanisa letu mapema iwezekanavyo. Wewe pia Unakaribishwa kushiriki baraka za Mungu kwa kuchangia kazi hii. Mungu akubariki Sana kwa utayari wako.
Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA (Hagai 1:8).

Address

Madaba
Songea

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755029338

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madaba Lutheran Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share